DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Yaani mpaka mifupa, alikaa muda gani baada ya kifoDaaah haya maisha haya bhana , poleni sana , Maisha ya Ulaya chenga sana , kuna dada mwingine alikutwa amekufa hvyo hvyo na ilichukua mwaka mzima kutambua amekufa , alifia kwenye sofa walikuta mifupa tuu , na mda huo Tv ilikuwa inaendelea kuwaka channel aliyokuwa ametune kabla ya kifo
Anyways, naikumbuka hii movie.