Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue!

1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness

2. Mnaficha ugonjwa

Yatajulikana maana huko alikokuwa hapakosi ndugu wa watanzania at least milion 20!
 
Back
Top Bottom