Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

Wanawaita washamba kwasababu hawana misifa,

Ingekuwa ni mkoa mwingine full kujimwambafai,mara ooh mkoa wa dhahabu,mara ooh matajiri wa Taifa,

Wasukuma💪🏿

Shimba ya Buyenze
kwakweli wanajitahaidi, kuna kaka yangu mmoja alioa mwaka jana, duh wale kina bugomola wote wakaja na kikundi chao mwanza aisee! pesa ilimwagwa pale sio poa! kamati tu ilitoa milioni 100, bado wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…