Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

Utaje na mazuri yao machache basi kubalance mzani
Ni watu wa kazi sana wamenyooka sio kama wagogo.
Tunawatumia sana wakaguru kwenye kulima ukipata wenye umri mteke mteke utawafaidi wanapiga kazi balaa na hawana mambo mengi mana hapo shamba watawinda panya watakula na ugali kazi inaenda.
Sijajua ukiwafata kwenye ardhi yao huko gairo na berega hali ipoje kama alivyosema mtoa mada.
 
Mkuu hicho kijiji kina walevi wengi sana, wachowo wengi sana, ila wakagulu wa mpwapwa tu, wakagulu wa morogoro wako poa tu, nishapita kote huko,
 
Wasukuma hatuna ubaguzi labda ujifanye mjuaji
ila kwenye uchawi kule bariadi ni noma!
Wasukuma ni waajabu bro,ukikutana na wawili watatu unaweza usielewe au kuona Shida yoyote Ile,ila ukijihusisha nao sana ndo utaelewa hao jamaa mizinguo sana!!!
 
kila kabila lina hizo tabia
naona mnawaita wakaguru malaya

nitafutie msukuma mwenye mke/girlfriend mmoja
nikuoneshe tembo anayepaa
Kweli kabsa kwa mfano siri wakaguru tunapenda sana vigodoro,pombe,wanawake,kazi lakn pia yapo madhaifu kama kupingana vita ya maendeleo kijiji kwa kijiji au mtu na mtu uchawi nje nje kupenda vitonga wadada kuliwa bila gharama yoyote(ei nafuu)
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
JF raha sana jamani duuuhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…