Wanafunzi 3,000 Waliopata ujauzito na sababu mbalimbali warudi Shuleni. Benki ya Dunia yaahidi kuongeza misaada

Jamani ni jambo jema sana watoto wapate elimu ila sasa ziwekwe semina watoto wafundishwe jinsi ya kutumia condom na kuepukana na magonjwa na mimba na wagawie pia condom
Maana wanafanya tu hayo mambo
 
Sijakuelewa
 
Wapewe elimu ya ngono maana wanafanya tu wakielekezwa kujikinga itakuwa vyema pia watoto wa kike wapewe mbadala pia dawa za kuzuia mimba
Hivi vibinti unavijua? Yaani ni chupI mkononi
 
"Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Fedha na Mipamgo, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina Khamisi Shaaban, Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Rished Mohamed Bade na Viongozi wengine kutoka Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki."

Hii wizara wamejazana maustaadh tu. Duh!
 
Naomba kuuliza je aliemaliza kidato cha nne miaka kumi iliopita anaweza akarudia kidato cha nne?
 
Back
Top Bottom