Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,261
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
 
Mkuu na umri wako Mkubwa hapa JF bado unaleta stori za kusikia? Sasa si tuataamini vipi kwamba ulichosikia ni cha kweli? Unataka sisi tucahngie nini?
 
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
upuuzi mtupu
 
We muanzisha uzi una umri gani na elimu yako ni ya kiwango gan?
 
Huyu mdoa mada chiz,kwan kunaubaya gan m2 kwenda tuition,au ndo umekalil mxemo wakizaman anayexoa tuition hana akil
 
Huyu mdoa mada chiz,kwan kunaubaya gan m2 kwenda tuition,au ndo umekalil mxemo wakizaman anayexoa tuition hana akil

hapa kuna tofauti kubwa sana ya kimtazamo hasa kwa upande wa wachangiaji wanavyoonekana kukanusha maada inaonesha dhaili kiasi gani ulivyowagusa.

kwanza mnatakiwa tuelewe na tukubaliana kwamba kutokana na muundo huu wasomi wa chuo kikuu kutegemea tution ni changa moto kubwa sana hata kama ni under graduate.na hii tukitaka kuhakiki ni ule wakati inapofika interview ni vituko tu.asilimia kubwa graduate from UDSM anashindwa kumueleza mtu amuelewe kwa ufasaha.iwe kwa kingereza au kiswahili full vululu.
hii yote ni kwa sababu ya kukopy na kupest.....yaana pale mabibo hostel ni kupokezana vijicopy vya notice mwanzo mwisho...wawili au mmoja angalau utamkuta anatoa copy kitabu.

jamani aibu......tujitahidi kuikabili hii changamoto kuchimba vitu kiundani zaidi siyo brabra tu.
ni hayo tu

kupokezana

hii

aiseeeeeeeee babaangu ilo soma nalifahamu sana wakati nasoma hapo huyo mwalimu alikuwa anafudisha pale changanikeni,, alafu mkuu si lazima kwenda kusoma
 
aiseeeeeeeee babaangu ilo soma nalifahamu sana wakati nasoma hapo huyo mwalimu alikuwa anafudisha pale changanikeni,, alafu mkuu si lazima kwenda kusoma

Kwa hiyo mleta hoja yupo sahihi, japo amekashifiwa sana.
Mjadala umekwisha.
 
UDSM pale toka 1976 kiwango kilishashuka ilichobaki pale ni bongo fleva (copying and pasting). We angalia mwanafunzi anamaliza chuo kikuu still he/she can't express him/herself properly.
 
Kwa hiyo mleta hoja yupo sahihi, japo amekashifiwa sana.
Mjadala umekwisha.

Mleta hoja yuko sahihi 100% tatizo ni kwamba kawagusa walengwa na sisi watanzania tuna tabia ya kuchukia ukweli. We tafakari kwa kina, kwanini viongozi wanapeleka watoto wao kusoma nje? UDSM kingekuwa chuo cha maana viongozi wange kifagilia, there's a reason why hata wenye uwezo wanawakimbiza watoto wao nje.
 
duh sio yeye kasema ni amepata tu tarifa akaamua kuleta lakin mlivo muwakia dah........ ila inaonekana kawagusa wengi besides kwan tution dhambi au hamjui maana yake? mbn hata mkiwa kwenye lecture ya kawaida hiyo ni tution ndo maana ada yenu inaitwa tution fees... #uvivu wa kufikiri...just sayn
 
Nadhani no sahihi zaidi ukisema discussion Na co tuition mkuu
 
hapa kuna tofauti kubwa sana ya kimtazamo hasa kwa upande wa wachangiaji wanavyoonekana kukanusha maada inaonesha dhaili kiasi gani ulivyowagusa.

kwanza mnatakiwa tuelewe na tukubaliana kwamba kutokana na muundo huu wasomi wa chuo kikuu kutegemea tution ni changa moto kubwa sana hata kama ni under graduate.na hii tukitaka kuhakiki ni ule wakati inapofika interview ni vituko tu.asilimia kubwa graduate from UDSM anashindwa kumueleza mtu amuelewe kwa ufasaha.iwe kwa kingereza au kiswahili full vululu.
hii yote ni kwa sababu ya kukopy na kupest.....yaana pale mabibo hostel ni kupokezana vijicopy vya notice mwanzo mwisho...wawili au mmoja angalau utamkuta anatoa copy kitabu.

jamani aibu......tujitahidi kuikabili hii changamoto kuchimba vitu kiundani zaidi siyo brabra tu.
ni hayo tu

kupokezana

hii

hii thread ingesema udom jamaa wala wasingekuja juu
 
mwenye huu uzi hana uhakika na mada aliyo ianzisha yawezekana kakuta watu wanagonga discussion kwa ustarabu kabisa alipo ona tu kajua tuition, labda tumuombe atueleze wanapigia tuition mitaa ipi na ni dr. Gani au mtu gani mwenye hiyo project.

ni kweli mkuu wanasoma tuition...
 
Jamani huyu mtoa madfa yupo sahihi sana,wanafunzi wa pale wamekuwa vilaza sanaaaa kila kukicha tution,nakumbuka mwaka 2008 kulikuwa na baadhi ya wanafunzi wanaenda DIT kusoma tution ya PASCAL PROGRAMMING tena walikuwa wengi sanaaaa wengiwao wakitoka telecom eng na compture engineering,kuhusu TOUWA tumemsika sanaaa na nina kumbuka kuna jamaaa mmoja mwk 2010 kipind kuna utaratibu wa kuongea na mukandala pale NKURUMAH huyu jamaa aliouliza kwann chuo kisiwachukue watu km touwa waje kufundisha chuo cz anauwezo huo.......
 
nadhani issue hapa nadhani ni kuthibitisha ukweli wa hili lakini kama kweli hili linatokea it is shame upon our education systeam at university level mtu anatakiwa adiscuss na aseach mateal mwenyewe after lecture
 
sasa tatizo liko wapi? Kama mtu haendi darasani na akaamua kwenda kupigwa msasa na huyo ticha kuna tatizo gani?
 
Kuwa na mtazamo si jambo baya, ubaya unakuja pindi mtu anapo shindwa kuulewa mtazamo anao usimamia, ukweli utabaki palepale upungufu wa mtu mojamoja hauwezi ukachukuliwa kuwa wa taasisi nzima na ukwel utabaki palepale kuwa UDSM ni taasisi inayoongoza kwa kutoa elimu bora kwa nchi yetu kwa sasa.
SIO KWELI....
embu jaribu kucheki faida udsm iliyoleta hapa tz na hasara pia??!!!
 
Back
Top Bottom