Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na umri wako Mkubwa hapa JF bado unaleta stori za kusikia? Sasa si tuataamini vipi kwamba ulichosikia ni cha kweli? Unataka sisi tucahngie nini?Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
upuuzi mtupuKuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
Huyu mdoa mada chiz,kwan kunaubaya gan m2 kwenda tuition,au ndo umekalil mxemo wakizaman anayexoa tuition hana akil
aiseeeeeeeee babaangu ilo soma nalifahamu sana wakati nasoma hapo huyo mwalimu alikuwa anafudisha pale changanikeni,, alafu mkuu si lazima kwenda kusoma
Kwa hiyo mleta hoja yupo sahihi, japo amekashifiwa sana.
Mjadala umekwisha.
hapa kuna tofauti kubwa sana ya kimtazamo hasa kwa upande wa wachangiaji wanavyoonekana kukanusha maada inaonesha dhaili kiasi gani ulivyowagusa.
kwanza mnatakiwa tuelewe na tukubaliana kwamba kutokana na muundo huu wasomi wa chuo kikuu kutegemea tution ni changa moto kubwa sana hata kama ni under graduate.na hii tukitaka kuhakiki ni ule wakati inapofika interview ni vituko tu.asilimia kubwa graduate from UDSM anashindwa kumueleza mtu amuelewe kwa ufasaha.iwe kwa kingereza au kiswahili full vululu.
hii yote ni kwa sababu ya kukopy na kupest.....yaana pale mabibo hostel ni kupokezana vijicopy vya notice mwanzo mwisho...wawili au mmoja angalau utamkuta anatoa copy kitabu.
jamani aibu......tujitahidi kuikabili hii changamoto kuchimba vitu kiundani zaidi siyo brabra tu.
ni hayo tu
kupokezana
hii
mwenye huu uzi hana uhakika na mada aliyo ianzisha yawezekana kakuta watu wanagonga discussion kwa ustarabu kabisa alipo ona tu kajua tuition, labda tumuombe atueleze wanapigia tuition mitaa ipi na ni dr. Gani au mtu gani mwenye hiyo project.
SIO KWELI....Kuwa na mtazamo si jambo baya, ubaya unakuja pindi mtu anapo shindwa kuulewa mtazamo anao usimamia, ukweli utabaki palepale upungufu wa mtu mojamoja hauwezi ukachukuliwa kuwa wa taasisi nzima na ukwel utabaki palepale kuwa UDSM ni taasisi inayoongoza kwa kutoa elimu bora kwa nchi yetu kwa sasa.