Wanafunzi Dar na Dharau kwa Wakubwa Wao

Yaaani Nimesoma kwa umakini sana kweli nimeamini kwamba kweli Wakazi wa Dar es Salaam wengi ni makolo, Waoga na wamejaa ujanja ujanja.

Yaaani huyo mwanafunzi anajibu hivo na pengine wewe ulieleta uzi hapa na mibaba mingine ya Dar mmekaa tu kama matikiti maji. AIBU SANA. SIdhani kama vijanafunzi ya mkoani vinaweza kuthubutu hayo mambo ya Dar.

Tandika Vibao.😎
 
Hata wewe nakulaum kama ninavyo walaumu wote mliokuwa kwenye hilo gari. Mlitakiwa mmchangamkie hadi ashike adab
 


WALIOKOSA NAULI YA KUJA DAR roho inawauma sana.. baki huko huko MATOMBO ulime viazi
 
Yaani Wakazi wa Dar kazi kujipiga picha viuno tu!. Hongera sana naona umeshafika Dreamland. Goodluck!.

Viazi utapata.
Sio dreamland inatakiwa uwe na upeo wa kufikiri.. kila kitu DAR .. DAR.. DAR... huko mikoani ndipo kwa wajinga wa mwisho.. ila huwezi ku mention mkoa au kabila fulani kwa sababu ya kutoweka utengano katika jamii yetu.. BABA WA TAIFA alikataa UKABILA hii habari ya kuiweka DAR kama jiji la watu wenye matatizo fulani sio vzr hata kidogo maana vizazi vinavyokuja mtavilithisha huu ujinga.
 
Ukosefu huu wa adabu kwa hawa watoto wetu ni kuja kwa haya mabasi ya mwendo kasi, yani wanafunzi ni hawana adabu hasaaa, tena kinakaaa mpaka kinauchapa usingizi kisa mwendo kasi, na kawahi siti tena ya mbele

Mwendo kasi atakaye wahi huyohuyo ndo anakaa kwenye siti hamana kupishana
 
Aaaha.,. dogo yuko sawa,ka una huruma simama wewe. Maswala ya kuamri amrisha watu ni nyumbani kwako sio barabarani. Kwenye gari ukiona mtu mzima kapanda afu wadogo hawampishi kausha fanya yako, na wao wana macho na akili za kujua nani wampishe nani wasimpishe.
 
Nakazia
 
Sana yani halafu haoni aibu anaongea kwa sauti watu wote tunamsikia. Badala angejibu chini chini ila anavyojiamini hakujali tutamchukuliaje ye anampa maneno tu mama wa watu
Maisha haya kama bado unawaza watu watakuonaje bado hujawa huru na huyo dent amelitambua hilo nampongeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…