Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
HahahahahaKwahiyo gari zima mkamuogopa mtoto ,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaKwahiyo gari zima mkamuogopa mtoto ,,
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100. Kila mtu ana haki ya kukaa kwenye siti iwe mkubwa au mdogo sijajua huu utaratibu wa wadogo kuwapisha wakubwa kwenye viti umetokea wapi. Kama mtu umepanda basi limejaa na umekuta watoto wamekaa waache kumpisha mtu ni utashi wa mtu hata mtu mzima anaweza kumpisha mama mtoto au mjamzito na si mwanafunzi pekee. Kuna siku niliwalipia wanangu wadogo kwenye basi kwenda mkoa wa Morogoro njiani akapanda mama mmoja akaomba ampakate mwanangu kwa kuwa ni mdogo kukaa kwenye siti ya mtu mzima kumbuka mie niliwalipia wanangu nauli full. Nilichomjibu alisema nawadekeza watoto ila nikamwambie yeye ndio mjinga kwa kupanda gari ambalo limeshajaaMtu mzima ukishapanda kwny usafiri wa umma inabidi nawewe uache kuwaambia watu wakupishe siti ukiona mwanafunzi hataki kusimama achana nae,hawa watoto nao wanachoka jamani
Hili jibu ingekuwa ni bomu, lingekuwa ni zaidi ya mabomu ya bwana kiduku KimKuna mwingine alimjibu mzee "we nawe umechelewa wapi, wa umri wako wapo kwenye magari yao"
Uko sahihi kabisa dada,wazee wanachangia kwa asilimia kubwa sana mana nakumbuka wakati sisi tupo wadogo tulikua hatulelew na wazee wetu pekeake hata wazee wa majirani na sehem nyengine walikua wanafunza watoto heshima kma watoto wao wa kuwazaa ila saiv mtoto akimkosea heshima mzee wa jirani akimpiga mama mtu anawaka na maskulini pia mtoto akipigwa mzee kaenda shule kweli nani atamlea mtoto wa mwengine.Nadhani chanzo hapo ni sisi wazazi tunaowalea. Sababu angelelewa vyema na Mzazi au Mlezi nyumbani basi hadi hapo angekuwa na heshima.
Hili ni somo kwa wazazi na walezi kwamba tulee watoto katika mstari ulionyooka kuanzia chini.
Japo kanikera sana huyo mtoto.
nisamehe mkuu nilihisi wewe ndo mama mtu mzimaYani kwenye daladala nakuaga mimi na simu yangu. Ningekua mimi kwanza yule mwanafunzi angejisikia vibaya kwa maneno ambayo ningempa
Tatizo wanaume wa dar start eating hao watoto wakiwa wadogo. Wamezoea kupigwa machinine mno wanajiona tayari wakubwa. Dharau hazitaisha because ktk game Ile game kuna utani mwingine. Kitu ambacho mkubwa anafanya nae anafanya.Ndio maana watoto wakiume wanakuwa na heshima kuliko wakike kwasababu watoto wa kiume hawaonji K za wamama watu zimaLeo kwenye daladala kuna mama alimwambia mwanafunzi ampishe mzee akae. Yule mwanafunzi badala ya kujibu kistaarabu labda mama nimechoka au nnitalipa nauli ya mtu mzima ila alichokifanya ni kujibishana na yule mama. Akaanza kumwambia simpishi mtu angetaka angewahi. Mama kujibiwa vile akapata moto. Akamwambia nyie watoto wa siku hizi hamna adabu mzee kasimama wewe umekaa halafu unajibu vibaya. Mwanafunzi akamwambia mama "usitafutie kik kwangu kama una stress mshahara hujatoka achana na mimi." "Kwanza nakushangaa unavyoniambia nimpishe si ungempisha wewe". Mama akamwambia "we mtoto nina mtoto kama wewe nyumbani usinijibu vibaya". Mwanafunzi akamjibu "mama kama mtoto yuko kwako ungekua na mtoto kama mimi ungemleta kwenye garia saa hizi mbona hayupo kwanza achana na mimi na stress zako za kutolipwa mshahara".
Haki nilijisikia vibaya yule binti kumjibu vile mama wa watu. Sawa sio jambo zuri kumsimamisha mwanafunzi ili mtu mzima akae lakini yule binti ana mdomo mchafu sanaa. Kwa style hii hawa wanafunzi wa Dar wataendelea kufeli kwa sababu hawana adabu kwa mkubwa wala mdogo. Nimewazia walimu wake atakua anawajibu dharau kiasi gani wakiwa wanamgombeza.
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100. Kila mtu ana haki ya kukaa kwenye siti iwe mkubwa au mdogo sijajua huu utaratibu wa wadogo kuwapisha wakubwa kwenye viti umetokea wapi. Kama mtu umepanda basi limejaa na umekuta watoto wamekaa waache kumpisha mtu ni utashi wa mtu hata mtu mzima anaweza kumpisha mama mtoto au mjamzito na si mwanafunzi pekee. Kuna siku niliwalipia wanangu wadogo kwenye basi kwenda mkoa wa Morogoro njiani akapanda mama mmoja akaomba ampakate mwanangu kwa kuwa ni mdogo kukaa kwenye siti ya mtu mzima kumbuka mie niliwalipia wanangu nauli full. Nilichomjibu alisema nawadekeza watoto ila nikamwambie yeye ndio mjinga kwa kupanda gari ambalo limeshajaa
Ni kweli usemalo kaka. Kama hiyo ya Skuli wazazi tunasahau kama na Mwalimu naye pia ni sehemu ya mzazi ndio sababu Mwalimu akikosea basi mzazi mbio shule kumkemea Mwalimu.Uko sahihi kabisa dada,wazee wanachangia kwa asilimia kubwa sana mana nakumbuka wakati sisi tupo wadogo tulikua hatulelew na wazee wetu pekeake hata wazee wa majirani na sehem nyengine walikua wanafunza watoto heshima kma watoto wao wa kuwazaa ila saiv mtoto akimkosea heshima mzee wa jirani akimpiga mama mtu anawaka na maskulini pia mtoto akipigwa mzee kaenda shule kweli nani atamlea mtoto wa mwengine.
Ungemsaidia yule mama kwa kumkalipia huyo mwanzafunziLeo kwenye daladala kuna mama alimwambia mwanafunzi ampishe mzee akae. Yule mwanafunzi badala ya kujibu kistaarabu labda mama nimechoka au nnitalipa nauli ya mtu mzima ila alichokifanya ni kujibishana na yule mama. Akaanza kumwambia simpishi mtu angetaka angewahi. Mama kujibiwa vile akapata moto. Akamwambia nyie watoto wa siku hizi hamna adabu mzee kasimama wewe umekaa halafu unajibu vibaya. Mwanafunzi akamwambia mama "usitafutie kik kwangu kama una stress mshahara hujatoka achana na mimi." "Kwanza nakushangaa unavyoniambia nimpishe si ungempisha wewe". Mama akamwambia "we mtoto nina mtoto kama wewe nyumbani usinijibu vibaya". Mwanafunzi akamjibu "mama kama mtoto yuko kwako ungekua na mtoto kama mimi ungemleta kwenye garia saa hizi mbona hayupo kwanza achana na mimi na stress zako za kutolipwa mshahara".
Haki nilijisikia vibaya yule binti kumjibu vile mama wa watu. Sawa sio jambo zuri kumsimamisha mwanafunzi ili mtu mzima akae lakini yule binti ana mdomo mchafu sanaa. Kwa style hii hawa wanafunzi wa Dar wataendelea kufeli kwa sababu hawana adabu kwa mkubwa wala mdogo. Nimewazia walimu wake atakua anawajibu dharau kiasi gani wakiwa wanamgombeza.
Kiukweli jamii yetu imebadilika kiasi kikubwa na inazidi kubadilika kwa kasi sana na tatizo ukionekana unakemea vitu ambavyo sio vzuri unaonekana wa ajabu sana katika jamii uovu umekithiri majanga kibao skuiz watu wanasoma sana ila kila wasomi wakizidi ndio jamii inaongezeka kua na watu wajinga kifikra na mawazo mtihani kwelikweli.Ni kweli usemalo kaka. Kama hiyo ya Skuli wazazi tunasahau kama na Mwalimu naye pia ni sehemu ya mzazi ndio sababu Mwalimu akikosea basi mzazi mbio shule kumkemea Mwalimu.
Kwa tulipofikia yatupasa wazazi tubadilike tena tubadilike hasa ili kuweza kuwa na watoto walionyooka na kuwa na adabu kama sisi wa kizazi cha zamani.
Kiukweli jamii yetu imebadilika kiasi kikubwa na inazidi kubadilika kwa kasi sana na tatizo ukionekana unakemea vitu ambavyo sio vzuri unaonekana wa ajabu sana katika jamii uovu umekithiri majanga kibao skuiz watu wanasoma sana ila kila wasomi wakizidi ndio jamii inaongezeka kua na watu wajinga kifikra na mawazo mtihani kwelikweli.
Watu waziwa wasio na usafiri wao wanastairi treatment kama hiyo.
pole kwa kukereka dadaNadhani chanzo hapo ni sisi wazazi tunaowalea. Sababu angelelewa vyema na Mzazi au Mlezi nyumbani basi hadi hapo angekuwa na heshima.
Hili ni somo kwa wazazi na walezi kwamba tulee watoto katika mstari ulionyooka kuanzia chini.
Japo kanikera sana huyo mtoto.