Wanafunzi Dar na Dharau kwa Wakubwa Wao

Kayataka.
Maana hizo siti hazijaandikwa wakae wakubwa tu.
Kama ni nauli wanafunzi wanaweza kuilipa.
 
Zamani ivi vitu avikuepo Mzee, mjamzito,Mama na mtt mdg,weny ulemavu pia wagojwa tuwapishe tuu vingine sawabu ..... watt malezi
 
Mtu mzima ukishapanda kwny usafiri wa umma inabidi nawewe uache kuwaambia watu wakupishe siti ukiona mwanafunzi hataki kusimama achana nae,hawa watoto nao wanachoka jamani
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100. Kila mtu ana haki ya kukaa kwenye siti iwe mkubwa au mdogo sijajua huu utaratibu wa wadogo kuwapisha wakubwa kwenye viti umetokea wapi. Kama mtu umepanda basi limejaa na umekuta watoto wamekaa waache kumpisha mtu ni utashi wa mtu hata mtu mzima anaweza kumpisha mama mtoto au mjamzito na si mwanafunzi pekee. Kuna siku niliwalipia wanangu wadogo kwenye basi kwenda mkoa wa Morogoro njiani akapanda mama mmoja akaomba ampakate mwanangu kwa kuwa ni mdogo kukaa kwenye siti ya mtu mzima kumbuka mie niliwalipia wanangu nauli full. Nilichomjibu alisema nawadekeza watoto ila nikamwambie yeye ndio mjinga kwa kupanda gari ambalo limeshajaa
 
Watoto wenyewe wanalelewa na dada wa kazi tangu wadogo baba na mama bize kazini kuonana na watoto ni nadra mnategemea nini
 
Uko sahihi kabisa dada,wazee wanachangia kwa asilimia kubwa sana mana nakumbuka wakati sisi tupo wadogo tulikua hatulelew na wazee wetu pekeake hata wazee wa majirani na sehem nyengine walikua wanafunza watoto heshima kma watoto wao wa kuwazaa ila saiv mtoto akimkosea heshima mzee wa jirani akimpiga mama mtu anawaka na maskulini pia mtoto akipigwa mzee kaenda shule kweli nani atamlea mtoto wa mwengine.
 
Tatizo wanaume wa dar start eating hao watoto wakiwa wadogo. Wamezoea kupigwa machinine mno wanajiona tayari wakubwa. Dharau hazitaisha because ktk game Ile game kuna utani mwingine. Kitu ambacho mkubwa anafanya nae anafanya.Ndio maana watoto wakiume wanakuwa na heshima kuliko wakike kwasababu watoto wa kiume hawaonji K za wamama watu zima
 

Mimi huwa namposha mjamzito na mzee mtu mwingine labda nione mgonjwa sio kisa unajiona mtu mzima basi iwe sababu ya mtu kukupisha siti...panda basi ambalo lina siti kama hutaki kusimama wala hutogombana na mtu.


Halaf sio lazima mwanafunzi ndio ampishe siti hata vijana wengine wangeweza kumpisha pia
 
Ni kweli usemalo kaka. Kama hiyo ya Skuli wazazi tunasahau kama na Mwalimu naye pia ni sehemu ya mzazi ndio sababu Mwalimu akikosea basi mzazi mbio shule kumkemea Mwalimu.

Kwa tulipofikia yatupasa wazazi tubadilike tena tubadilike hasa ili kuweza kuwa na watoto walionyooka na kuwa na adabu kama sisi wa kizazi cha zamani.
 
Ungemsaidia yule mama kwa kumkalipia huyo mwanzafunzi
 
Kiukweli jamii yetu imebadilika kiasi kikubwa na inazidi kubadilika kwa kasi sana na tatizo ukionekana unakemea vitu ambavyo sio vzuri unaonekana wa ajabu sana katika jamii uovu umekithiri majanga kibao skuiz watu wanasoma sana ila kila wasomi wakizidi ndio jamii inaongezeka kua na watu wajinga kifikra na mawazo mtihani kwelikweli.
 
Umeonaeee. Ni kweli kabisa usemalo Mkuu.
 
Halafu eti huyo akifeli walimu walaumiwe, lazima atakuwa slow learner ndo wana majibu ya hovyo.
 
Safi sana uyo mama kakomeshwa kidogo tena ingekuwa mimi na matusi Angepata mtu nmetoka kuhangaika na mathematics alafu ukicheki nmechoka alafu anakuja mtu kukuletea ujinga umpishe ili iweje sasa.
 
lawama sio za watoto.... watoto wanakuwa wa hovyo hovyo kwa sababu wanalelewa na wazazi wa hovyo hovyo

akina baba wenyewe ndo hawa kina le mbebezi ..mobimba.. cintwa yeeen nyenyenye

na akina mama ndio hawa kina sista fey sijui.. nasikia naye gigy money ni mama sasa hivi
 
pole kwa kukereka dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…