Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Tusimame imara kaka. La sivyo na sisi wazazi wao tujiandae kutukanwa hadharani pasi woga.Haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusimame imara kaka. La sivyo na sisi wazazi wao tujiandae kutukanwa hadharani pasi woga.Haswa
Ndio hapo sasa. Sababu mtoto kama hana adabu kiasi hicho sidhani kama anaweza muheshimu mwalimu wake na kutokumuheshimu ndio mwanzo wa kufanya vibaya darasani sababu hakuna kitakachoingia.Halafu wakifeli walimu wanawajibishwa..kwa staili hii walimu nawahurumia mtapata tabu sanaa
Zamani mtoto alikuwa mali ya wote akikosea mtu yeyote anamkanya na mzazi anafurahi tu lkn kwasasa mtoto akikosea mzazi ndiyo kwanza anambembeleza.Nadhani chanzo hapo ni sisi wazazi tunaowalea. Sababu angelelewa vyema na Mzazi au Mlezi nyumbani basi hadi hapo angekuwa na heshima.
Hili ni somo kwa wazazi na walezi kwamba tulee watoto katika mstari ulionyooka kuanzia chini.
Japo kanikera sana huyo mtoto.
Yani we acha tu dunia inazidi kuruka singeli siku zinavyozidi kwendaUmeongea kweli Mkuu. Ndio sababu hawajui mkubwa anatakiwa ajibiwe majibu ya namna gani.
Ila kazi ipo Mkuu.
uko sawa kabisa Hajar nidhamu ni muhimu sehemu yoyote iwe kazini au biashara au kwa wanamichezoNdio hapo sasa. Sababu mtoto kama hana adabu kiasi hicho sidhani kama anaweza muheshimu mwalimu wake na kutokumuheshimu ndio mwanzo wa kufanya vibaya darasani sababu hakuna kitakachoingia.
Sababu katika kusoma nidhamu nayo ni muhimu.
Mkuu kinachozungumziwa ni yale majibu machafu.Kwani gari zilikuw zimeisha mpak mtu mzima upande gari lililo jaa hapo utakuwa umeamua kufanya mazoez
Mkuu kinachozungumziwa ni yale majibu machafu.
Kwani angeamua kulaza kichwa kwenye siti ya mbele yake kama wanavyofanyaga au kukaa kimya na kutokujibu huu uzi ungekuwepo?
Kweli kabisa na tena akija kumwambia mzazi alichokufanyia basi jiandae kuongezewa fimbo ili usirudie tena.Zamani mtoto alikuwa mali ya wote akikosea mtu yeyote anamkanya na mzazi anafurahi tu lkn kwasasa mtoto akikosea mzazi ndiyo kwanza anambembeleza.
Wazazi wasasa tunajiona tunajua uchungu bure kabisa
Umeonaeeee. Ndio maana wanasema siku hizi malezi magumu yapo kwa mtoto wa kike kwani ukimchekea tu basi huko mbeleni jiandae na ndio kama huyo mtoto wa kwenye hiace.Yani we acha tu dunia inazidi kuruka singeli siku zinavyozidi kwenda
Kabisa na ile inatufanya tunajifunza mambo mengi mnooo.uko sawa kabisa Hajar nidhamu ni muhimu sehemu yoyote iwe kazini au biashara au kwa wanamichezo
Kabisaaaa. Na ukute kulikuwa na wanafunzi wenzie hapo ndio akataka kabisa wamjue kwamba yeye ni Mwajuma Ndala Ndefu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolNimekupata mkuu ila kwa mwonekano tu wa haraka mwanafunzi alitaka kuonesha kuwa nae yumo so kuonewa tu kwa kuwa ni mwanafunzi
Kabisaaaa. Na ukute kulikuwa na wanafunzi wenzie hapo ndio akataka kabisa wamjue kwamba yeye ni Mwajuma Ndala Ndefu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
Hahaaa. Kabisaaaa.Hiyo inaitwa niguse nikuzabue
Sana yani halafu haoni aibu anaongea kwa sauti watu wote tunamsikia. Badala angejibu chini chini ila anavyojiamini hakujali tutamchukuliaje ye anampa maneno tu mama wa watuAisee...ni tabia mbaya sana mtoto kujibizana na mtu mzima.