witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mi nawapakataga full huruma yaan[emoji24]Mi nikionaga konda anasumbua nalipa nauli wakae kwenye siti. Kuna wengine unaona kabisa alivyochoka halafu asimame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nawapakataga full huruma yaan[emoji24]Mi nikionaga konda anasumbua nalipa nauli wakae kwenye siti. Kuna wengine unaona kabisa alivyochoka halafu asimame
Sitetei ila mama atabaki kuwa mama mtoto vile vile. Yule mama angekua anamwambia mtoto maneno ya dhihaka hata mimi ningemind ila mama wa watu alivyopewa majibu akaishi tu watoto wa siku hizi hamna adabuWamama nao sometime usitetee sana...
Basi hapo kidenti kilitakiwa kufinywaaaYule mama hakua na mdomo jamani
Hahahaaa. Eeh. Sasa huyo alikua kichaa inaeleweka. Ukiwa na dharau mara nyingi mwisho hauwi mzuri kielimuKwa sababu ya zile kauli chafu? Unaota wewe!
Si chuo tuligraduate na kichaa mmoja mla bangi zikipanda anatufukuza na malecturer na mapanga ( na matusi juu
Lkn class ni nomazz
Sawa Dada wa mkoani tumekusikia tutacha majibu ya ovyoAisee hizi tabia za wanafunzi wa dar wanazipata kutoka kwa kaka zao wanaume wa dar...nao wanamajibu ya ovyo sana
Haki mimi nilipigwa na mshtuko kwamba anajiamini nini. Kuja kurudiwa akili ni alivyoshuka wengine walipoanza kumsema huyo mtotoKwa iyo wakati anamjibu ivyo nyie mlikua mmekaa kimya mnamuangalia tu? Ingekua uku mikoani uyo denti angeshushwa na abiria
Kama alikuwa anamtukana mmama yuko kimyaa, wallah ningemkunja...serious!Ungejisikia vibaya trust me.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mwingine alimjibu mzee "we nawe umechelewa wapi, wa umri wako wapo kwenye magari yao"