Wanafunzi Dar na Dharau kwa Wakubwa Wao

Wamama nao sometime usitetee sana...
Sitetei ila mama atabaki kuwa mama mtoto vile vile. Yule mama angekua anamwambia mtoto maneno ya dhihaka hata mimi ningemind ila mama wa watu alivyopewa majibu akaishi tu watoto wa siku hizi hamna adabu
 
Hii ndio daslam, unaweza kupigwa biti na kitoto cha form two mpaka ukashangaa!

They fear no one!
Kama yule ule mchambo mi mwenyewe dada ake nikaogopa hata kumwambia anyamaze
 
Kwa sababu ya zile kauli chafu? Unaota wewe!

Si chuo tuligraduate na kichaa mmoja mla bangi zikipanda anatufukuza na malecturer na mapanga ( na matusi juu

Lkn class ni nomazz
Hahahaaa. Eeh. Sasa huyo alikua kichaa inaeleweka. Ukiwa na dharau mara nyingi mwisho hauwi mzuri kielimu
 
Hakuna anayemtetea huyo denti coz nao washenzi tu tena sana!

Ulisikiliza ugomvi wao toka mwanzo? Huyo mmama alimwambia nini denti?

Anyway wee ndo ulishuhudia!
Nilisikiliza denti alivyoanza kumsorora mama wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…