Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mwingine alimjibu mzee "we nawe umechelewa wapi, wa umri wako wapo kwenye magari yao"
Haaahaaa...umeogopaa?Hilo ni jibu mbaya lakin linafunzo sana, wacha nikatafute pesa ili kuyakwepa haya
Haahaaahaaa...watu na majibu yaoousije ukawa wewe ndo mama mtu mzima uliyekutana na domo la mwanafunzi
Weeee. Mimi najibishanaga na maneno ya kukuumiza. Yani angejisikia vibaya yule mtoto. Nilishamjibu mtu halafu alinikosea sana sana sana. Wakati yeye anapayuka mimi namjibu chini kwa chini ila yale yanayouma. Mwisho wa siku akalia yeye wakati mimi ndo alinikosea na wala sikutoa choziMgejibu tu na nyie mngejibiwa mpaka mngelia
Ningecheka jamaniHahahahahaaa. Eti anamuuliza mwenzie kwani leo lini?? Aah kumbe mwisho wa mwezi ndo maana mama anataka kik kwangu kumbe ana stress za mshahara
Kati ya watu siwezi jibishana nao ni madenti....huwa wanachoka sana! SanaWanachoka kweli ila hata kujibu kuna lugha ya kutumia.
Yaan acha tu mi nikikaa huku mwaka mnanikamatia sijui wapiSana hatubishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuonaWeeee. Mimi najibishanaga na maneno ya kukuumiza. Yani angejisikia vibaya yule mtoto. Nilishamjibu mtu halafu alinikosea sana sana sana. Wakati yeye anapayuka mimi namjibu chini kwa chini ila yale yanayouma. Mwisho wa siku akalia yeye wakati mimi ndo alinikosea na wala sikutoa chozi
Mzigua90 hapo ni unajisemea wewe. Kila aliyewahi kua mwanafunzi ameshaonja usumbufu.Kati ya watu nawatetea kwenye daladala ni wanafunzi. Tena nikisikia konda anamwambia mpishe mkubwa nitalipa nauli ya huyo mwanafunzi ili akae tu kwenye siti. Hata mimi nikiona mtu mzima sana au mtu mwenye tatizo nampisha siti anakaa bila kuambiwa.
Narudi sipendi hilo jambo la kumwambia mwanafunzi ampishe mkubwa kiti ila huyu mwanafunzi hana nidhamu. Ni haki yake kukalia siti ila alichomjibu yule mama kilivuka. Angemwambia tu nalipa nauli ya mtu mzima angepungukiwa nini? Na hata muonekano wake yule mtoto anaonekana kashindikana.
Wamama nao sometime usitetee sana...Sana yani halafu haoni aibu anaongea kwa sauti watu wote tunamsikia. Badala angejibu chini chini ila anavyojiamini hakujali tutamchukuliaje ye anampa maneno tu mama wa watu
Tenaaa wamama wanatakaga kupelekesha wachache sana wastaarabuWamama nao sometime usitetee sana...
Ndicho nachokimaanisha!....hapo kaona denti alitaka kumnyanyasa ili apewe support!Tenaaa wamama wanatakaga kupelekesha wachache sana wastaarabu
Shenzy taipu.... Wasted sperm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nimeishia kucheka tuuUwiii. Mzee hakulia?? [emoji23][emoji23]
Hapo alikosea!Anamwambia mtu mzima kama mama yake etia anatafuta kik. Mpaka yule mama kaacha kuongea mwamafunzi anachamba tu