Wanafunzi DUCE walilia boom, walalamika viongozi wa serikali kuwatembelea uchaguzi ukikaribia

Wanafunzi DUCE walilia boom, walalamika viongozi wa serikali kuwatembelea uchaguzi ukikaribia

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Wanafunzi Chuo cha Elimu sehemu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania (DUCE), wailaumu serikali



Mwanachuo bi. Nduguru aliyetokea Songea kusoma campus ya DUCE jijini Dar es Salaam akiongea huku akushangiliwa na wanafunzi hao wa kitivo cha chuo kikuu.

Wanachuo hao waalimu wa baadaye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Chuo cha Elimu sehemu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania (DUCE) kipo kata ya Miburani manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Wanafunzi hao wanasema wanasikia kuwa serikali imeongeza mikopo na fedha za kujikimu (almarufu kama boom) wanachuo , lakini bado hadi leo bado hawajapewa stahiki.

Wanachuo wamelalamika kuwa wananyimwa mikopo kwa kisingizio eti wanachuo wanafunzi wasomi wamekosea kujaza fomu inavyostahili. Hall/ ukumbi mzima wazizima kuonesha mshangao kuwa inawezekana vipi waalimu watarajiwa wa degree ya elimu kushindwa kujaza fomu.

Wanachuo hao huku wakikiri kuipenda CCM na rais Samia Hassan wakiwa na mashati ya njano kuonesha mapenzi kwa chama dola kongwe CCM, lakini wasikitishwa na serikali kuburuza miguu kuwapa mikopo wanafunzi wa vyuo vikuu.
 
Mama Muuza..

Abeee!!

Ongeza nyama tafadhari....
 
Wanafunzi wanateseka sana awamu hii, Nchi inauza mali zote ikiwemo Bandari na Bahari lakini bado hakuna hela!
Kuna Trillion 6 za Uvuvi na Uchumi wa Buluu, hujasikia niongezee sauti

Mama Muuuuuuza...

Abeeeee!

Lete Wali Samaki kibua..
 
Kwani hizo pesa wanazokopa wanapeleka wapi!!
 
Back
Top Bottom