Hakuna habari za advanced diploma siku hizi bali mtu anasoma ordinary diploma anaenda chuo kikuu moja kwa moja.Ukipata advanced diploma na ukafaulu vizuri unaenda chuo kikuu, umeshakwepa A level.
Narudia nenda Diploma. Hata ukiwa vizuri . Huko vyuo vikuu hao wanaotoka diploma wako vizuri zaidi hata kuwabrush wanaotoka advance.ongezea nyama nyama kidogo
Hakuna kitu kama hicho Nimesoma kwenye website zao wanafunzi wote wakiwa admitted wanamaliza pamojaFuatilia kina DIT,ATC,MUST
Anayemaliza diploma ana nafasi kubwa ya kuweza hata kujisomesha maana anaweza pata ajira huku anaendelea kusoma so akaweka mambk yake vema mapema sana.Njia fupi kivipi wakati Diploma ni miaka 3 na Chuo miaka 3 au zaidi. Huoni aliyeenda Advance ana njia fupi kwa kupungua mwaka mmoja zaidi?
Ataokoa muda.Kama anajiamini kuaKwa nini Advance na si Diploma?
Sio vyuo vyote, ni vyuo vichache vinakubali degree ya engineering miaka mitatu,na hivyo vichache vinakubali kama hiyo diploma umechukulia hapo kwenye hicho chuo,otherwise ni miaka minne.degree nyingi za engineering ni miaka minne na kwa aliyetoka diploma ni miaka mitatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nambie ulefu wake uko wapi wakati wato mtasoma miaka sita?Bado ni njia ndefu Kwa Diploma
Mkuu nimesoma engineering hao waliotoka diploma tumekutana nao sana na tumewaburuza tu iwe theory ama practical ,cha muhimu zaidi ni juhudi na bidii za msomaji.Narudia nenda Diploma. Hata ukiwa vizuri . Huko vyuo vikuu hao wanaotoka diploma wako vizuri zaidi hata kuwabrush wanaotoka advance.
Mfano: advance usome PCM alafu chuo kikuu ukasome ELECTRICAL ENGINEERING.. ambapo unakutana na mtu wa diploma in ELECTRICAL ENGINEERING tayari darasa moja. What next?
Wengi wetu tulifanya huo uamuzi miaka zaidi ya 25 iliyopita,ukifeli fom six,ndio basi tena,lakini ukienda ukapiga diploma yako DIT,ukitoka,na ujuzi kibao,wakati kijana wa form six inabidi asubili miaka minne zaidi siku akimaliza chuo kikuu,Utafiti wa Wizara ya elimu unaonesha kwamba kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi Kukacha Kidato Cha 5 na 6 badala yake Kujiunga Vyuo Vya Elimu vya kati ngazi ya Diploma.
Kwani Kuna nini huko Advance na huku Diploma Kuna nini wanakimbilia?
Je inaweka kuwa wanaona Elimu ya Kidato cha 5 na 6 haiwasaidii mtaani kulinganisha na Elimu ya ngazi ya Diploma?
Je, pengine ukijiunga A level unaenda Bachelor na Sokoni Bachelor haiziki kama Diploma?
Shida nini Wanafunzi mnakimbia Ugumu au?
View attachment 2568366
Kwani advanced diploma bado ipo ?Ukiwa na Advanced huendi undergraduate Bali unaenda Masters.
Ukiwa na Ordinary Diploma au FTC unaenda Bachelor
hii mbona ngeni kwanguUkiwa na Advanced huendi undergraduate Bali unaenda Masters.
Ukiwa na Ordinary Diploma au FTC unaenda Bachelor
Ukweli ni upiNani kakudanganya????
Sawa. Kwaio wewe ukapata cheti kimoja Cha fani muda huo mwenzio akawa na vyeti viwili vya fani. ?Mkuu nimesoma engineering hao waliotoka diploma tumekutana nao sana na tumewaburuza tu iwe theory ama practical ,cha muhimu zaidi ni juhudi na bidii za msomaji.
Nenda DIT ukajifunzeChuo gani hicho mtu ambaye akijiunga na diploma anasoma degree miaka 3 na anayejiunga na form 6 miaka 4.
Mimi nafahamu wanafunzi wakiwa admitted chuo whether umetoka form 6 or FTC wanamaliza pamoja .
Embu naomba nitajie hicho chuo kinachowatofautisha
Kumbe umesoma kwenye website nikajua umesoma kwenye hivyo vyuoHakuna kitu kama hicho Nimesoma kwenye website zao wanafunzi wote wakiwa admitted wanamaliza pamoja
Taja hivyo vyuo vinavyokataa mtu aliyetoka diploma kama hakusoma kwenye hivyo vyuoSio vyuo vyote, ni vyuo vichache vinakubali degree ya engineering miaka mitatu,na hivyo vichache vinakubali kama hiyo diploma umechukulia hapo kwenye hicho chuo,otherwise ni miaka minne.
Ambacho hukijui ndo system ya vyuo vyote mtu aliyesoma diploma kozi hiyo hiyo moja akienda degree ni miaka mitatu ila akibadili kozi ataenda minne km wa 4m 6 labda udaktar lakini kuanzia sheria, engineering na fani zozote hiyo ndo systemChuo gani hicho mtu ambaye akijiunga na diploma anasoma degree miaka 3 na anayejiunga na form 6 miaka 4.
Mimi nafahamu wanafunzi wakiwa admitted chuo whether umetoka form 6 or FTC wanamaliza pamoja .
Embu naomba nitajie hicho chuo kinachowatofautisha