Wanafunzi na watafiti kutoka China wanaosoma Marekani wazuiwa kukaganya Marekani

Wanafunzi na watafiti kutoka China wanaosoma Marekani wazuiwa kukaganya Marekani

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Marekakani imekua ikiwatuhumu wanafunzi na watafiti kutoka china kwa wizi wa nyaraka za siri za kiutafiti kutoka kwenye vyuo wanavyosoma na kuzipeleka China.

Juzi juzi hapa ilikamata watafiti kadhaa kwa kutorosha sampuli za virusi kwenda China.

Marekani imekua ikiituhumu China kutumia wanaojiita wanafunzi kuiba nyaraka za siri kutoka kwenye vyuo na kuzipeleka China.

Sasa Marekani imewapiga marufuku wanafunzi na watafiti wanaosoma Marekani kutoka China kukanyaga nchi hiyo.

Trump anasema China imeachwa muda mrefu ikitumia njia zisizo na usawa na uahindani usio sawa kuinyonya Marekani kwa miaka na miaka. Sasa hilo limefika mwisho.

====

The White House has banned some Chinese students and researchers from entering the United States after accusing them of stealing intellectual property, according to a statement issued by the White House on Friday.
The entry ban goes into effect at midnight on June 1, 2020.

According to a statement from the White House, the U.S. government has deemed some Chinese students, especially postgraduate students and postdoctoral researchers, to be stealing sensitive technologies and intellectual properties for the benefit of the Chinese government, which could threaten the security of the U.S. But some Western media outlets such as ABC News and the Wall Street Journal considered the move to be part of the U.S. reaction to the adoption of a draft decision by China's top legislature on national security legislation for the Hong Kong Special Administrative Region (HKSAR).

The move, first reported by the New York Times ahead of Trump's announcement, is estimated to influence at least 3,000-5,000 Chinese students.

During Friday's Chinese Foreign Ministry press conference, spokesperson Zhao Lijian said such a move would run counter to the openness and freedom the U.S. claims to champion, and would impact the normal cultural and personnel exchanges between the two countries while undermining the social foundation for bilateral relations.

"It would be stark political persecution and racial discrimination and a grave violation of their human rights," Zhao said at the press conference, urging the U.S. side to stop using all sorts of excuses to wantonly restrict and repress Chinese students in the U.S.

It "exposed some Americans' deep-seated, zero-sum Cold War mentality," the spokesperson said, and queried whether or not this is "a rebirth of the notorious ghost of McCarthyism".

American universities are also expected to push back against the decision of the administration. According to Reuters, some 360,000 Chinese nationals study in U.S. schools annually, generating about 14 billion U.S. dollars, including tuition and other fees.

Meanwhile, the U.S. officials acknowledged that there was no direct evidence pointing to any wrongdoing by the students who are about to lose their visas, according to the New York Times.

Rong Ying, vice president of the China Institute of International Studies, told CGTN that this move is a proclamation that goes against the personal commitment of President Trump and his administration to promote people-to-people interactions between the two countries that have played an important role in promoting mutual understanding and their bilateral relationship.

"It is also a kind of humiliation for universities and institutions that have been conducting these exchanges," said Rong in an interview with CGTN on Saturday, adding that Chinese students and visiting scholars who were invited by U.S. universities and institutions "are meant to promote the exchanges."

Rong believed that in the past decade, these exchange programs are not only beneficial to Chinese students and researchers but also help the U.S. universities and institutions to "have a better understanding of what China is doing."

"Targeting a program that helps the institutions and that helps scientific and cultural exchanges is totally wrong and totally unacceptable," he said.
 
Hakimu Mfawidhi

Mfamaji hua haachi kutapatapa US leo imekua yakulialia kilaleo

Kamakweli hao wanafunzi walikua wanayafanya hayo yanayoshtumiwa nayo hapo je wao US walikua wanashindwa kuwadhibiti toka kitambo hiko

Najekama kweli walikua wanaiba je washaiba mambo mangapi yamaana nayasiri toka kitambo nahicho ?!

Je US imekua nchi dhaifu kiasi hicho kiasi kwamba raia wamataifa mengine wanaingia nakubeba mambo yake tena wanayodai yasiri nakutokomea nayo bila wao kujua mpaka miaka kadhaa mbele

Mwanzo wamwisho wa Amerka Umefikia Hakuna Marefu Yasiokua Namwisho zamu yawenginesasa maana Amerka Amekua mtu wakulialia tukilaleo aseee kama kanchifulani hv kadogo ambacho hakajiwezi kwalolote

Byebyeeee America.....
 
Bwana bwana bwana maswali yako sioni mashiko yake
 
Bwana bwana bwana maswali yako sioni mashiko yake
inawezekana MKUU yasiwe namashiko ila nlikua nataka nioneshe tu udhaifu waidara zao zausalama juu yakulinda mambo yao nyeti mpaka wanakuja kulalama kiasi hicho hapo ama kuonesha kyakwamba huu nimuendelezo wapropaganda zao dhidi ya UCHINA kama muendelezo wakukabiliana na UCHINA katika nyanja ya UCHUMI.....
 
Mchina kwa hapa kwetu ni kama Mchaga

Tapeli tapeli, mwizi mwizi mjanja mjanja na mpenda njia za shortcut
 
China ni nchi ni waizi wakupindukia
Naamini hii sindano imewaingia vizuri
Maana sioni chuo bora cha tech kule China
Vyuo vya tech viko USA so naaamini hii itawanyoosha sana.
 
Haya ni maajabu ya dunia. Kwanza USA itapoteza mabilion ya dolla kila mwaka (fees and living costs), pili hawa vijana watapelekwa europe.

"American universities are also expected to push back against the decision of the administration. According to Reuters, so far there are some 360,000 Chinese nationals studying in U.S. schools annually, generating about 14 billion U.S. dollars, including tuition and other fees".

Tatizo si wizi kwani ni kitu ambacho wanaweza ku-control kwani hawa vijana wana supervisors labda kama hao supervisors ni part ya huo mchezo.

Trump anaelekea ana allergy na wachina hasa akijua kuwa wako njiani kuipiku USA kiuchumi-jambo ambalo ni vigumu kulizuia. Wachina watakula nae sahani moja tu, afadhali awaweke karibu na aje na mifumo ya kuwadhibiti na si kuwabagua.
 
Hakimu Mfawidhi

Mfamaji hua haachi kutapatapa US leo imekua yakulialia kilaleo

Kamakweli hao wanafunzi walikua wanayafanya hayo yanayoshtumiwa nayo hapo je wao US walikua wanashindwa kuwadhibiti toka kitambo hiko

Najekama kweli walikua wanaiba je washaiba mambo mangapi yamaana nayasiri toka kitambo nahicho ?!

Je US imekua nchi dhaifu kiasi hicho kiasi kwamba raia wamataifa mengine wanaingia nakubeba mambo yake tena wanayodai yasiri nakutokomea nayo bila wao kujua mpaka miaka kadhaa mbele

Mwanzo wamwisho wa Amerka Umefikia Hakuna Marefu Yasiokua Namwisho zamu yawenginesasa maana Amerka Amekua mtu wakulialia tukilaleo aseee kama kanchifulani hv kadogo ambacho hakajiwezi kwalolote

Byebyeeee America.....
Andika vizuri hueleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni maajabu ya dunia. Kwanza USA itapoteza mabilion ya dolla kila mwaka (fees and living costs), pili hawa vijana watapelekwa europe.
"American universities are also expected to push back against the decision of the administration. According to Reuters, so far there are some 360,000 Chinese nationals studying in U.S. schools annually, generating about 14 billion U.S. dollars, including tuition and other fees".

Tatizo si wizi kwani ni kitu ambacho wanaweza ku-control kwani hawa vijana wana supervisors labda kama hao supervisors ni part ya huo mchezo.

Trump anaelekea ana allergy na wachina hasa akijua kuwa wako njiani kuipiku USA kiuchumi-jambo ambalo ni vigumu kulizuia. Wachina watakula nae sahani moja tu, afadhali awaweke karibu na aje na mifumo ya kuwadhibiti na si kuwabagua.
Waondoke tu, USA inavyanzo vingi vya mapato, haiwategemei hao wanafunzi wa kichina.
 
[emoji1787][emoji1787]Ni lini anaondoka huyo America?! Make naona kila siku unamuaga hapa, hii style ya kuaga mara sita sita ndo naiona kwako, ila usije ukaagwa wewe ukamuacha unayemuaga.
Suala la muda tu mbona.....
 
Kwa hili kuna uwezekano mkubwa wa USA alikuwa mtengenezaji wa Corona kilichotokea ni kwamba kaibiwa na kirusi kimebadilishwa.

Lakini kwa anayeamini kwamba huu ni mwisho wa mchina kuwaibia nyaraka au sampuli za maabara atakuwa anajidanganya.

Wenzetu wamewekeza sana kwenye ujasusi kitakachofanyika hapo kubadilisha mbinu tu.
 
Back
Top Bottom