Wanafunzi na watafiti kutoka China wanaosoma Marekani wazuiwa kukaganya Marekani

Wanafunzi na watafiti kutoka China wanaosoma Marekani wazuiwa kukaganya Marekani

Suala lamuda tu mbna.....
Kwa huo mtazamo wako basi kila nchi hapa duniani ni bye bye, na kila mtu hapa duniani ni bye bye. Hivyo basi hakuna haja ya kusemana make wote ni bye bye [emoji38][emoji38]
Pale mgonjwa anapomwambia RIP mtu ambaye haumwi wakati hata mtu ambaye haumwi hawezi kumuambia mgonjwa RIP [emoji44][emoji44], hiyo Kama sio akili za kindezi ni nini?!
 
Nisuala muda tu mbna kna mataifa hata ukiyasema bye bye haisaidii sababu hayana athari yeyote yauwepo wake hapa DUNIANI yakiwepo sawa yasipokuepo sawa ila ikitokea US rasmi DUNIA haitakaa Ishuhudie Tena UGAIDI wake namachafuko yakipuuzi kilakona.....
 
Ni suala la muda tu Somalia itakuwa Super Power, [emoji3][emoji3] hakuna kitu rahisi kama kuongea aisee, Ni suala la muda tu Sexer atakuwa tajiri namba moja duniani, umeona ilivyo rahisi kuongea?![emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli mchungu lazima uukatae .....
 
Nisuala muda tu mbna kna mataifa hata ukiyasema bye bye haisaidii sababu hayana athari yeyote yauwepo wake hapa DUNIANI yakiwepo sawa yasipokuepo sawa ila ikitokea US rasmi DUNIA haitakaa Ishuhudie Tena UGAIDI wake namachafuko yakipuuzi kilakona.....
Soma vizuri historia ya dunia, walimwengu wameanza kuchinjana toka enzi za mitume na wala US haikuwepo. Jifunze kusoma vitabu bwana mdogo.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Soma vizuri historia ya dunia, walimwengu wameanza kuchinjana toka enzi za mitume na wala US haikuwepo. Jifunze kusoma vitabu bwana mdogo.
[emoji38][emoji3]
Endele tu kujitoa ufahamu
 
[emoji38][emoji3]
Endele tu kujitoa ufahamu
Ndio nini Sasa [emoji3][emoji3] au ili mradi tu umecomment! Ni kujibu hapo watu wanachinjani tangu enzi na enzi kabla hata US haijakuwepo kwa hiyo propaganda yako ya dunia ina machafuko sababu US ni mufirisi.
 
Trump amegeukauwa cry baby... Nadhani badala ya kuifanya America great again ameigeuza cry baby na kafail kwa mengi...
North Korea hajaweza kuifanya iache project yake ya kutengeneza makombora.

Alijitoa kwenye mkataba na Iran sasa Iran inazidi kutengeneza makombora, mara kadhaa imezikamata meli za ulaya na japo kaiwekea vikwazo imepeleka mafuta venezuela na ikamwambia aziguse akutane na majibu.

Corona imemuhangaisha japomwanzo alicheka akidhani China anahangaika haitofika kwake, mambo yalipokuwa magumu trump katafuta wa kumshushia lawama, kaona China na WHO ndiyo scapegoat.

Kila kitu kwake lawama tu kwa wengine na bado atazidi kulalamika sana...
 
Masiya,
Yaani Marekani itadondoka kiuchumi kutokana na kukosa ada za wanafunzi 300,000 kutoka wa Kichina😅😅😅😅😅
 
Hapa ni issue ya vyuo husika labda kama serikali itawafidia.
Ndivyo wanavyofanya, huwa hawajiamulii bila kufanya assessment ya namna watakavyo fidia hasara ya maamuzi ya serikali.
 
Ndivyo wanavyofanya, huwa hawajiamulii bila kufanya assessment ya nsmna watakavyo fidia hasara ya maamuzi ya serikali.
Una hakika mkuu? Niliweka maoni kuhusu reaction ya vyuo vikuu-pitia tena hiyo source.
 
Wachina walipashwa wote kurudi kwao tuanze upya
Wachina wabaya sana magumashi mengi
Mie naona sawa Wachina bakieni kwenu mnaliisumbua Dunia na uongo na utapeli wenu

Kwa hili Trump uko sawa
 
Wachina walipashwa wote kurudi kwao tuanze upya
Wachina wabaya sana magumashi mengi
Mie naona sawa Wachina bakieni kwenu mnaliisumbua Dunia na uongo na utapeli wenu

Kwa hili Trump uko sawa
Ujuha tu wa Trump ndio unaomsumbua kwani kabla yake hao WACHINA hawakuwepo huko US

Jamaa wanatapatapata tu nahisi ila hawana hoja yamsingi wala ya maana.....
 
Mchina ni mwizi aliyekubuhu. Trump ameamua kula nao sahani moja.
mbona yeye alikwapua wana sayansi toka ujerumani na Italy baada ya vita kuu ya pili ya dunia. .. Au mkuki kwa nguruwe?
 
Baadhi ya wanafunzi na kuna uwezekano kozi fulani fulani wakakataa ku admit Chinese nationals..
U.S. vyuo vinahitaji SANA international students, na Chinese spend millions of USD kwa mwaka kwenye vyuo vya U.S...

Na effects za kiuchumi zilizoletwa na NOVEL COVID-19, U. U.S. is stuck btn a rock & hard place.

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Wachina walipashwa wote kurudi kwao tuanze upya
Wachina wabaya sana magumashi mengi
Mie naona sawa Wachina bakieni kwenu mnaliisumbua Dunia na uongo na utapeli wenu

Kwa hili Trump uko sawa
China ni moja ya mataifa makubwa sana ya kale wapo pale walipo tangu zama za kina Solomon huko uchina lilikuwa tayari ni taifa kama unavyoiona Misri wamepigana vita nyingi na kushinda. So acheni kuwa chukulia poa kibwege bwege. ..wala hamjiulizi ni miaka kama 100s iliyopita China alikuwa chini ya utawala wa uingereza na japan akigombaniwa kama nyama ya swala na fisi yaani walikuwa wana tawaliwa kwa mtungo 😃😃

Lakini hivi leo tunavyoongea China ndio taifa linaloitoa jasho na kamasi USA ndio taifa linalo fuata kwa uchumi duniani na miaka. michache ijayo huwenda wakashika kabisa kijiti cha kuwa super power yaani kesha waacha mbali hata wale waliokuwa wana mtawala. .... Bado tu mnawachukulia poa wachina 😃😃😃
 
Back
Top Bottom