McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Wazazi eleweni serikali haina pesa ajiri ya chakula cha watoto wenu sema hapo kuna harufu ya wizi elfu 70 y'all chakula cha miaka mingapi minne au hapo kuna upigaji
Pole sana,Ni rahisi kuropoka kwa kuwa haupo field!!! Usamehewe bure. Ahsante kwa kuonyesha ulivyo mweupe kichwani.
Ikiwa kama wewe ni Mkuu wa shule, wanaripoti F.I 300 wasio na mahali pa kukaa utaendelea kuwaambia tu waalimu waendelee kufundisha?
Tuna safari ndefu sana.
Mimi nadhani kwangu tatizo siyo michango,tatizo ni utaratibu unaotumika.Mpiga marufuku yeye aliangalia upande wake tu kulinda maslahi yake ya kura 2020. Hizo side effect yeye haimhusu na hajui kuwa wanafunzi hula shuleni kwa ruzuku ya wazazi na si serikali. Wenye watoto mashuleni hizi tamko ni kuua elimu, changanyeni na zenu
Safi sana.. Diwani anajitambua huyu, wengine wanapiga marufuku huku watoto wao wakisoma Feza na IST!Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya chakula wakati wa muda wa masomo.
Pia wametaka michango TZS 10,000/= kwa kila mwanafunzi kama malipo ya mwalimu wa kujitolea, pia michango ya madawati imewekwa kiporo ila imependekezwa kila mwanafunzi kuchangia TZS 25,000/=.
Kwahiyo sisi tufanyeje!??,Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya chakula wakati wa muda wa masomo.
Pia wametaka michango TZS 10,000/= kwa kila mwanafunzi kama malipo ya mwalimu wa kujitolea, pia michango ya madawati imewekwa kiporo ila imependekezwa kila mwanafunzi kuchangia TZS 25,000/=.
Kwani huyo diwani ni wa chama gani!??Kikao kimefanyika leo 23/1/2018 na kaazimia sh.10,000 mwl wa kujitolea shule nzima?? Na ,70,000 chakula na hili la kipolo 25000 dawat??? Jamani mkuu wa shule umeponzwa kwenye siasa tena kwani hujasikia agizo la RAIS????
Mkuu hajui gharama za chakula mpaka unasema 70elfu ni nyingi sana mfano kwa muhula mmoja sema tu wanasoma siku 90 ugigawanya na hiyo 70 unapata wastani kwa siku ni 780 kwa siku.Wazazi eleweni serikali haina pesa ajiri ya chakula cha watoto wenu sema hapo kuna harufu ya wizi elfu 70 y'all chakula cha miaka mingapi minne au hapo kuna upigaji
Ndo mijitu ambayo tunapaswa kuendelea kuiombea kama ili sijui linyakyusa la wapi livivu kiasi hikiNi jambo la ajabu hili! 70k ya kula mwaka mzima anaona ni pesa kubwa sana. Fanya mahesabu rahisi tu, kwa siku mzazi anampa kiasi gani mtoto wake kwa ajili ya chakula shuleni? Je kwa mwaka wa masomo una siku ngapi?
Ndo hapo sasa,hili jamaaa itakuwa lidiwani lililoshindwaWatu wapumbavu sana asee.. sasa watoto wale mawe pindi wawapo shuleni..??? Diwani na mwalimu mkuu wako sahihi tena 100%..
Ndo haya mavivu kufikiri tunayalia wake zaokuna.watu wa.ajabu sana hana ufafanuzi wowote kakimbilia kuleta umbea.huku halafu waweza kuta ni Baba jitu zima ma midefu halaf halina akili.
Hata hapo kyimo penyewe pameundwa kamati ya chakula waalimu hawagusi mchango wowoteWakuu wa shule wengi wanahitaji elimu,jukumu la michango waziachie serikali za mitaa na kata baada ya kutoa taarifa ya mapungufu yaliyopo shuleni kwenye kamati.
Lakini kwa vile waalimu wetu tz walishageuka tra acha yapukutishwe.
Pole sana kwa kukosa elimu unaandika tu usichoelewa kwakuwa kichwani kumejaa chawa badala ya akiliWakuu wa shule wengi wanahitaji elimu,jukumu la michango waziachie serikali za mitaa na kata baada ya kutoa taarifa ya mapungufu yaliyopo shuleni kwenye kamati.
Lakini kwa vile waalimu wetu tz walishageuka tra acha yapukutishwe.
Nadhani waalimu wana maslahi wangekua hawana maslahi wasingelazimisha kiasi hiki hivi kwani hawapati mishahara?Hivi kwanini wanalazimisha hii michango!! Si wawaache!!!
[emoji736]Tokea enzi ya mama Dunda wanakula chakula na ni Shule pekee iliyokua na huo utaratibu tokea zamani wilaya nzima.wasimamizi Wa huo mpango Wa chakula watiwe moyo na sio kuwavunja moyo.
zamani sisi tulikwenda kula nyumbani 12:00 na kurudi saa 2:00 pm na vipindi vinaendelea kama kawaida,natuli score high performance ktk mitihani yetu,wasitulazimishe kutoa michangoKweli serikali haitoi fungu lakn isiw lazm kuchnga kwan wngine watabeba makande kutok nyumban .
Kwani kwenye kut..!*/mba ulit=@-@+mba 3% hizo 97% walikut...mbea wenye uwezo!??mie nilisema waweke percentage labda 3% ya kipato cha mzazi,kila mtu alipe kile ambacho anaweza kutoa,kusema wote walipe 70,000 ni kuwaonea,unajuaje hicho ndicho anachopata kwenye shughuli zake?