Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

Wazazi eleweni serikali haina pesa ajiri ya chakula cha watoto wenu sema hapo kuna harufu ya wizi elfu 70 y'all chakula cha miaka mingapi minne au hapo kuna upigaji

Nahisi wewe ni kula na kulala bure,elfu 70 unauliza chakula cha miaka mingapi kama una mtoto alieko shule huwezi kuuliza swali la namna hii.
 
Ni rahisi kuropoka kwa kuwa haupo field!!! Usamehewe bure. Ahsante kwa kuonyesha ulivyo mweupe kichwani.
Ikiwa kama wewe ni Mkuu wa shule, wanaripoti F.I 300 wasio na mahali pa kukaa utaendelea kuwaambia tu waalimu waendelee kufundisha?
Tuna safari ndefu sana.
Pole sana,

Shule haijawahi kuwa Mali ya Mwalimu,wamiliki wa shule ni wananchi na ndo wanaotakiwa kushughulikia masuala yote kwa kushirikiana na Serikali.

Mwalimu mwenye akili hawezi kuanza kuchangisha michango kutoka kwa wanafunzi au wazazi kwa sababu hana mamlaka hayo,anayetakiwa kukusanya michango ni Serikali za mitaa na kata baada ya kukaa ktk vikao na kukubaliana,zile ndo mamlaka.

Elimika Mwl,nilishawahi kufanya kazi hiyo lakini kwa sababu ya kauli ya ualimu ni wito ilibidi nibadili gia angani.
 
Mpiga marufuku yeye aliangalia upande wake tu kulinda maslahi yake ya kura 2020. Hizo side effect yeye haimhusu na hajui kuwa wanafunzi hula shuleni kwa ruzuku ya wazazi na si serikali. Wenye watoto mashuleni hizi tamko ni kuua elimu, changanyeni na zenu
Mimi nadhani kwangu tatizo siyo michango,tatizo ni utaratibu unaotumika.

Jamii inatakiwa kuhamasishwa ili wajue zile shule ni kwa ajili ya watoto wao na kwa kiasi fulani wanaowajibu ktk baadhi ya masuala kama miundombinu na chakula cha wanafunzi,wakae wananchi na Serikali zao wakubaliane jinsi ya kuyakabili hayo matatizo lakini kamwe mwalimu asiwe sehemu ya wakusanya michango eti kutoka kwa wabafunzi bali atoe tu ushauri baada ya kutoa taarifa ya mapungufu.

Utaratibu wa mwalimu kukusanya Fedha za madawati,majengo,chakula kwa shule za kawaida hizi siyo mzuri labda ubaki kwa zile za kitaifa kwa sababu zinachukua wanafunzi kutoka mikoa mbalimbali.
 
Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya chakula wakati wa muda wa masomo.

Pia wametaka michango TZS 10,000/= kwa kila mwanafunzi kama malipo ya mwalimu wa kujitolea, pia michango ya madawati imewekwa kiporo ila imependekezwa kila mwanafunzi kuchangia TZS 25,000/=.
Safi sana.. Diwani anajitambua huyu, wengine wanapiga marufuku huku watoto wao wakisoma Feza na IST!
 
unalalamika nini?fungieni watoto wenu ndani muwafundishe wenyewe au hamisha mwanao mpeleke shule ya bure.mambo ya kulia lia hayafai tena,nani kawaambia kuna elimu ya bure dunia hii?endeleeni kuota tu.
 
Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya chakula wakati wa muda wa masomo.

Pia wametaka michango TZS 10,000/= kwa kila mwanafunzi kama malipo ya mwalimu wa kujitolea, pia michango ya madawati imewekwa kiporo ila imependekezwa kila mwanafunzi kuchangia TZS 25,000/=.
Kwahiyo sisi tufanyeje!??,
 
Kikao kimefanyika leo 23/1/2018 na kaazimia sh.10,000 mwl wa kujitolea shule nzima?? Na ,70,000 chakula na hili la kipolo 25000 dawat??? Jamani mkuu wa shule umeponzwa kwenye siasa tena kwani hujasikia agizo la RAIS????
Kwani huyo diwani ni wa chama gani!??
 
Wazazi eleweni serikali haina pesa ajiri ya chakula cha watoto wenu sema hapo kuna harufu ya wizi elfu 70 y'all chakula cha miaka mingapi minne au hapo kuna upigaji
Mkuu hajui gharama za chakula mpaka unasema 70elfu ni nyingi sana mfano kwa muhula mmoja sema tu wanasoma siku 90 ugigawanya na hiyo 70 unapata wastani kwa siku ni 780 kwa siku.
Ni jukumu la wazazi kushirikiana na uongozi wa shule ili watoto waweze kupata mahitaji muhimu kwa ajili ya kuwaweka vizuri kimasomo.
Nakumbuka kipindi cha mkapa anaingia madarakani alisema chakula ni lazima kwa wanafunzi na baada ya mwaka mahudhurio na ufaulu uliongezeka sana
 
Ni jambo la ajabu hili! 70k ya kula mwaka mzima anaona ni pesa kubwa sana. Fanya mahesabu rahisi tu, kwa siku mzazi anampa kiasi gani mtoto wake kwa ajili ya chakula shuleni? Je kwa mwaka wa masomo una siku ngapi?
Ndo mijitu ambayo tunapaswa kuendelea kuiombea kama ili sijui linyakyusa la wapi livivu kiasi hiki
 
kuna.watu wa.ajabu sana hana ufafanuzi wowote kakimbilia kuleta umbea.huku halafu waweza kuta ni Baba jitu zima ma midefu halaf halina akili.
Ndo haya mavivu kufikiri tunayalia wake zao
 
Wakuu wa shule wengi wanahitaji elimu,jukumu la michango waziachie serikali za mitaa na kata baada ya kutoa taarifa ya mapungufu yaliyopo shuleni kwenye kamati.

Lakini kwa vile waalimu wetu tz walishageuka tra acha yapukutishwe.
Hata hapo kyimo penyewe pameundwa kamati ya chakula waalimu hawagusi mchango wowote
 
Wakuu wa shule wengi wanahitaji elimu,jukumu la michango waziachie serikali za mitaa na kata baada ya kutoa taarifa ya mapungufu yaliyopo shuleni kwenye kamati.

Lakini kwa vile waalimu wetu tz walishageuka tra acha yapukutishwe.
Pole sana kwa kukosa elimu unaandika tu usichoelewa kwakuwa kichwani kumejaa chawa badala ya akili
 
Huyo mwalimu na diwani wapo sawa kabisa.michango inayopitishwa na wazazi na walimu pamoja na bodi za shule,haihusiani na Magufuli.
 
Hivi kwanini wanalazimisha hii michango!! Si wawaache!!!
Nadhani waalimu wana maslahi wangekua hawana maslahi wasingelazimisha kiasi hiki hivi kwani hawapati mishahara?
 
Tokea enzi ya mama Dunda wanakula chakula na ni Shule pekee iliyokua na huo utaratibu tokea zamani wilaya nzima.wasimamizi Wa huo mpango Wa chakula watiwe moyo na sio kuwavunja moyo.
[emoji736]
 
Kweli serikali haitoi fungu lakn isiw lazm kuchnga kwan wngine watabeba makande kutok nyumban .
zamani sisi tulikwenda kula nyumbani 12:00 na kurudi saa 2:00 pm na vipindi vinaendelea kama kawaida,natuli score high performance ktk mitihani yetu,wasitulazimishe kutoa michango
 
mie nilisema waweke percentage labda 3% ya kipato cha mzazi,kila mtu alipe kile ambacho anaweza kutoa,kusema wote walipe 70,000 ni kuwaonea,unajuaje hicho ndicho anachopata kwenye shughuli zake?
Kwani kwenye kut..!*/mba ulit=@-@+mba 3% hizo 97% walikut...mbea wenye uwezo!??
 
Back
Top Bottom