Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

Wewe ng'ombe ni wapi waalimu wamakusanya pesa ya michango isipokuwa wazazi wenyewe kumteua!?
 
Kenya wamerusha satelaiti yao ya kwanza angani kwa ajili ya kufuatilia masuala ya Ardhi na kuangalia ukanda wa bahari wa nchi yao.

Sisi tunajadiliana "watoto wanywe uji na chakula shuleni?"
 
Hata hapo kyimo penyewe pameundwa kamati ya chakula waalimu hawagusi mchango wowote
Huo ndo utaratibu mzuri,

Wananchi wakubaliane na wachangishane kupitia hizo kamati zinazoundwa au Serikali za mitaa/kijiji.

Walimu hawatakiwi kujihusisha na ukusanyaji wa michango kutoka kwa wanafunzi au wazazi.
 
Nadhani waalimu wana maslahi wangekua hawana maslahi wasingelazimisha kiasi hiki hivi kwani hawapati mishahara?
Wewe punda kikao kilikuwa cha wazazi wenyewe wakiongozwa na diwani wao mkuu wa shule kama katibu na waalimu wengine hawakuwepo kwenye kikao waliendelea na ufundishaji,Sasa waliwalazimishaje ingali hawakuwepo kwenye kikao.RUDI DARASANI KAPATE ELIMU
 
Huo ndo utaratibu mzuri,

Wananchi wakubaliane na wachangishane kupitia hizo kamati zinazoundwa au Serikali za mitaa/kijiji.

Walimu hawatakiwi kujihusisha na ukusanyaji wa michango kutoka kwa wanafunzi au wazazi.
Na ndo maagizo yalivyo toka juu,hua tunaona mihutasari mingi ya vikao vya wazazi wanahimizana wenyewe juu ya uchangiaji
 
Wewe ng'ombe ni wapi waalimu wamakusanya pesa ya michango isipokuwa wazazi wenyewe kumteua!?
Huyo mwalimu aliyeteuliwa na wewe wote ni bata wa maziwa kwa sababu hamjui majukumu na mipaka yenu na badala yake wazazi wanawaingiza mkenge.
 
Huyo mwalimu aliyeteuliwa na wewe wote ni bata wa maziwa kwa sababu hamjui majukumu na mipaka yenu na badala yake wazazi wanawaingiza mkenge.
We mkndu kweli kwa umbumbumbu wako unadhani kila anayejua masuala ya elimu ni mwalimu!??,kuna watu wengi tu wanasimamia elimu kupitia wizara tamisemi na si waalimu,pia kuna NGOs nyingi zipokaribu na jamiii na jamii haiko mbali na elimu.Mknd wabibi yako mzaa mama yako aliyekuzaa wewe zombi
 
Bado tu mnapigizana Makelele Kuhusu michango na madawati....
Je hvyo viwanda mtaweza....

Ova
 
Nyie ndio mnaojaza server humu kwa kujifanya wajuaji.
 
Kasema wapi!??

Weka hayo maneno hapa.
 
Kenya wamerusha satelaiti yao ya kwanza angani kwa ajili ya kufuatilia masuala ya Ardhi na kuangalia ukanda wa bahari wa nchi yao.

Sisi tunajadiliana "watoto wanywe uji na chakula shuleni?"
Ilo Mbona bora, la kununua wapinzani, na kutumia bilioni moja kumrudisha Yule Yule aliyenunuliwa, mimi hoi
 
hakuna kosa hapo
elimu bure n kiini macho hauwezekn maana serikali haijaajir waalimu haijajenga madarasa sasa ukikataza michango inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…