Pole sana,
Shule haijawahi kuwa Mali ya Mwalimu,wamiliki wa shule ni wananchi na ndo wanaotakiwa kushughulikia masuala yote kwa kushirikiana na Serikali.
Mwalimu mwenye akili hawezi kuanza kuchangisha michango kutoka kwa wanafunzi au wazazi kwa sababu hana mamlaka hayo,anayetakiwa kukusanya michango ni Serikali za mitaa na kata baada ya kukaa ktk vikao na kukubaliana,zile ndo mamlaka.
Elimika Mwl,nilishawahi kufanya kazi hiyo lakini kwa sababu ya kauli ya ualimu ni wito ilibidi nibadili gia angani.