KERO Wanafunzi UDOM tunalipia gharama ya hosteli lakini ukikamilisha usajili unaambiwa vyumba vimejaa, tunalazimika kubebana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Sep 23, 2024
Posts
73
Reaction score
73
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel.

Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel) na ukishakamilisha usajili ndiyo hivyo unaambiwa vyumba vimejaa.

Hali hii ilitokea Mwaka wa masomo 2024/2025 na imejirudia tena Mwaka huu (2025/2026) ambapo Wanafunzi wengi wanalipia gharama za hosteli lakini hawapewi vyumba.

Wanafunzi inabidi tu-double (tulale wawiliwawili )kitanda kimoja na vitanda vyenyewe ni vidogo (havitoshi watu wawili) mnaishia kubanana au wengine inabidi waingie upya gharama za kupanga nje ya chuo ilihali gharama ya hosteli wamelipia.

Changamoto hii mara nyingi inawatokea wanaoendelea na masomo au wanaokuwa mwaka wa mwisho pindi wanapowahi kufanua usajili, (continuous na finalists), hawapewi vyumba mapema mpaka first year wote wapate vyumba.

Ukikosa chumba na tayari ulishalipia accommodation, mfumo hauwezi kukurudishia pesa, hali hii iliwatokea wengi Mwaka 2025.

Naomba ujumbe huu uwafikie wanaohusika ili sauti zetu ziwafikie wenye mamlaka na walishughulikie, tuondokane na adha hii tunayoipitia.

Nyongeza pia jambo sio kwa umuhimu saana, Wasimamizi wa Hostel za UDOM (warden) wapo kimaslahi zaidi wanaweza kukwambia vyumba vimejaa lakini ukienda na mzigo unapatas chumba fresh tu, wapo wengine ambao ni wapendanao wakiwa na mzigo wanapewa chumba kizima wao tu kama vile ni wanandoa huku wengine ambao hawana mkono mrefu wanaenda kubanana katika kushea vitanda.

Majibu ya Chuo haya hapa ~ UDOM: Tutafanya ukaguzi wa mabweni ya Chuo kubaini Wanafunzi wanaobebana
 
Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali.
Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini wamefika chuo wanaambiwa walipe hela chuoni then fomu tu inajazwa bila vipimo.

Aloo hili li-nchi hovyo hovyoooooo
 
Udom chuo changu , kipindi tunasoma hapo, chumba kimoja unakaa peke yako .
sahivi jau sana mkuu kuna kera balaaa hasa hasa wanaokaa college ya education ni balaa tupu vyoo vichafu vimeziba khaaa inaboa kishenzi ukiangalia na Elimu so bure umelipia Full Ada kabsa
 
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel.

Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel) na ukishakamilisha usajili ndiyo hivyo unaambiwa vyumba vimejaa.

Hali hii ilitokea Mwaka wa masomo 2024/2025 na imejirudia tena Mwaka huu (2025/2026) ambapo Wanafunzi wengi wanalipia gharama za hosteli lakini hawapewi vyumba.

Wanafunzi inabidi tu-double (tulale wawiliwawili )kitanda kimoja na vitanda vyenyewe ni vidogo (havitoshi watu wawili) mnaishia kubanana au wengine inabidi waingie upya gharama za kupanga nje ya chuo ilihali gharama ya hosteli wamelipia.

Changamoto hii mara nyingi inawatokea wanaoendelea na masomo au wanaokuwa mwaka wa mwisho pindi wanapowahi kufanua usajili, (continuous na finalists), hawapewi vyumba mapema mpaka first year wote wapate vyumba.

Ukikosa chumba na tayari ulishalipia accommodation, mfumo hauwezi kukurudishia pesa, hali hii iliwatokea wengi Mwaka 2025.

Naomba ujumbe huu uwafikie wanaohusika ili sauti zetu ziwafikie wenye mamlaka na walishughulikie, tuondokane na adha hii tunayoipitia.

Nyongeza pia jambo sio kwa umuhimu saana, Wasimamizi wa Hostel za UDOM (warden) wapo kimaslahi zaidi wanaweza kukwambia vyumba vimejaa lakini ukienda na mzigo unapatas chumba fresh tu, wapo wengine amba oni wapenda nao wakiwa na mzigo wanapewa chumba kizima wao tu kama vile ni wanandoa huku wengine ambao hawana mkono mrefu wanaenda kubanana katika kushea vitanda.
hii nahisi ipo college ya tiba pekee make ndio kuna lundo la wanafunzi
 
Usisahau bima ya afya,mtu analipia lakini mpaka unaingia mwaka wa pili bila kupata kadi ya kuruhusu matibabu.Tuvumiliane
 
Wanafunzi mshakuwa wengi aisee.
 
Vipi kuhusu zile overpayment ambazo wanafunzi wanadai, wahitimu walio andika barua toka mwaka Jana mwezi wa saba hadi Leo hwajapokea hata mia, wala hakuna mrejesho,, Na mfumo una miezi miwili hauoneshi hata matokeo unasema uko under maintainance for one week toka November mwaka Jana, Na hawasemi watamaliza lini,, najua wanafanya mengi Sana mazuri ila bila taarifa zilizonyooka hawawezi kukwepa hizi lawama
 
Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali.
Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini wamefika chuo wanaambiwa walipe hela chuoni then fomu tu inajazwa bila vipimo.

Aloo hili li-nchi hovyo hovyoooooo
Ile medical ni source of income kabisa
 
Back
Top Bottom