Kodo dyako
JF-Expert Member
- Nov 18, 2025
- 318
- 409
😁😁😁..baaaasiiiiii,..na ilikua unatokea mbaaaalii ad block RHahaha umenikumbusha mbali , nakumbuka nilikua mtunza funguo wa mnyororo kumi alfajiri lazima niwahi block R😅
😁😁😁..baaaasiiiiii,..na ilikua unatokea mbaaaalii ad block RHahaha umenikumbusha mbali , nakumbuka nilikua mtunza funguo wa mnyororo kumi alfajiri lazima niwahi block R😅
Mwanzoni nilikua naishi tiba , ikabidi nihamie block E madukani😂😁😁😁..baaaasiiiiii,..na ilikua unatokea mbaaaalii ad block R
Nyie wote maticha. Hamkua social pale enz za talma cafeteria. Enzi hizo habib mchange kakusanya wanafunz block 1 social mbele ya uwanja wa basket .kawaaambia tunataka kwenda inapogemwa pombe kwenyewe. Wana tumoro tukatimba bungen. Waden alikua hana noma anakupa room zima utawala. Msonj anakula ndum balaaTuanzie kwako kwanza..Mimi nilikuepokipindi hiko sisi ndio tumeanzisha gym block R iliyokatazwa na utawala..sijui kama saiv itakuepo
Hapana education wanakaa watu wa chas pia ila sijui kwa sasaNyie wote maticha. Hamkua social pale enz za talma cafeteria. Enzi hizo habib mchange kakusanya wanafunz block 1 social mbele ya uwanja wa basket .kawaaambia tunataka kwenda inapogemwa pombe kwenyewe. Wana tumoro tukatimba bungen. Waden alikua hana noma anakupa room zima utawala. Msonj anakula ndum balaa
Najua na nilikua nimekuacha mwaka moja au miwili nyuma...ilikua unakaa na blocks za karibu na yule mapema kibongeMwanzoni nilikua naishi tiba , ikabidi nihamie block E madukani😂
Hahaha umemaliza mwaka Gani kwaniNajua na nilikua nimekuacha mwaka moja au miwili nyuma...ilikua unakaa na blocks za karibu na yule mapema kibonge
Wakae wap .sijui mim mamb 6a sasa watoto wadogo.nasemea pioneers kijana.Hapana education wanakaa watu wa chas pia ila sijui kwa sasa
Bila shaka 2009 hukoUdom chuo changu , kipindi tunasoma hapo, chumba kimoja unakaa peke yako .
We kitoto cha FIRAUNI embu tulia, au ulizaliwa kwenye mrija wa back bench..Hatari ipi kubebana single sex?? Em eleza hapa??
Ushalewa bwashee 😅Wakae wap .sijui mim mamb 6a sasa watoto wadogo.nasemea pioneers kijana.
Ulimaliza mwaka gani na kolej gani mzee wangu .....sema UDOM kwangu hawana baya wamejua kunibeba sana ada nilikuwa nalipa tumefunga chuo nakuja kufanya special exam...mara mbili ingekuwa chuo kingine ndio imetoka hiyo.Udom chuo changu , kipindi tunasoma hapo, chumba kimoja unakaa peke yako .
Ndivyo ulivyofunzwa? Badala ujibu swali, unaishia kuhemkwa?? LolWe kitoto cha FIRAUNI embu tulia, au ulizaliwa kwenye mrija wa back bench..