KERO Wanafunzi UDOM tunalipia gharama ya hosteli lakini ukikamilisha usajili unaambiwa vyumba vimejaa, tunalazimika kubebana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwa ukubwa wa kile chuo ni ukiritimba tu kuwaambia wanafunzi vyumba vimejaa kwanza Kuna college hostel wamejaa popo tu na buibui
 
Mbona UDOM inaonekana ina majengo mengi mno? Inakuaje kuwe na uhaba wa hostel?
Au ni mradi wa watu kuwapiga cha juu wanafunzi? Lol
 
sahivi jau sana mkuu kuna kera balaaa hasa hasa wanaokaa college ya education ni balaa tupu vyoo vichafu vimeziba khaaa inaboa kishenzi ukiangalia na Elimu so bure umelipia Full Ada kabsa
Dooh iyo mbaya sana... education ilikuaga burudani sana Miaka hiyo
 
Hapo kuna kitu hujakielewa..mkopo unu cover tuition fee peke yake ..accommodation na administrative cost unajilipia . Imekuwa hivyo siku zote hakuna unachoibiwa hapo.
 
Tuanzie kwako kwanza..Mimi nilikuepokipindi hiko sisi ndio tumeanzisha gym block R iliyokatazwa na utawala..sijui kama saiv itakuepo
Hahaha nimepiga sana gym pale R , si zile rings zenye meno meno πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…