Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wanafunzi kutoka Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College ATC) wamekuja na uvumbuzi utakaotumia takataka karatasi katika ujenzi wa barabara.
Haijaishia hapo tu, ila pia kutakua na mizani isioonekana chini ya izo barabara za makaratasi, na pembeni hakutakua na nguzo za kupitisha umeme, mwendo wa wireless.
Kwa sasa hii innovation ipo katika process ya kua "patented" ili mtu au Taifa jigine lisiibe.
Haya yalitolewa katika wiki la research hapo chuoni, maarufu kama Innovation & Career Guidance Week.
Kila lakheri vijana.