Wanafunzi wa boarding jiheshimuni! Serikali inaweka kumbukumbu za wanafunzi wote Tanzania. Msijiharibie future

Wanafunzi wa boarding jiheshimuni! Serikali inaweka kumbukumbu za wanafunzi wote Tanzania. Msijiharibie future

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika kwa scrutiny kubwa sana.
 
Kama kumbukumbu za Jiwe zinadaiwa kuonyesha kuwa, mwamba alifukuzwa shule (boarding) kwa sababu ya tabia ya kuvuta bangi na matatizo ya kitabia, na bado mwisho wa siku akawa Rais wa Tanzania. Nani mwingine anaweza kumnyoshea kidole mwanafunzi wa boarding mtukutu?
 
Kuna mtu nimesoma nae alikua kwenye black book enzi na alikua moja ya wahusika wakuu katika kuchoma shule yetu sasa toka awamu ya jk mwishoni analamba teuzi tu!!! Msiwatishe vijana acha waishi
 
Wanafunzi gani hao unaowazungumzia ambao hata ajira hiyo Serikali yao haitoi?
 
Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika kwa scrutiny kubwa sana.
Kwendaaaa huko , wangapi wamefirana , wanavujisha mavideo ya Ngono lkn Serikali ya CCM inawapokea na kuwapa vyeo .

Kundi la wasanii wote walioko Dodoma, mule ndan Kuna wasenge, Wafiraji, ambao Kila siku wanavujisha mavideo machafu.

Ishindwe kuwaashibu hao, ikapambane na watoto chini ya miaka 18, wanaojifunza Kwa wasanii
 
Uzi muhimu kama huu moderators wataufuta.
 
Back
Top Bottom