Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini
HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.

 
Subiri kampeni zianze kuna mkulu mmoja atatangaza kuwapa watu wanaohusika na mikopo siku mbili pesa zipewe kwa wanafunzi.
Then wanafunzi watalipuka kwa furaha na watamwaga sifa kede kede na kuahidi kumpigia kura mkulu.

Bloodful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…