Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji, wametengeneza gari linalotumia umeme

BADO UWEZO WA KUWA CREATIVE NI MDOGO SANA. UGANDA NA KENYA WALICHOKIFANYA SASA YALE NDO MAGARI SIO KUTULETEA VYUMA NA MABATI YALIOUNGANISHWA ALAFU ANASIFU, MBONA WATZ TUNA HAIBISHANA. YANI YOYOTE ALIYE KUWA PROUD KWA ILO, UKAPIMWE AKILI, ATAKUWA ANAMATATIZO SANA.
 
Kwa hii hali ya kutaka kujilinganisha na wazungu basi tutaendelea kujiona tumelaaniwa hadi kiyama,maana hakuna siku ambayo itakuja kuwafikia hao wazungu.
 
Sio haba,, wakipewa sapoti wanaweza fika mbali though ni existing idea already
 
Mkokoteni unaotumia motor ndo gari..anyway,wamejitahidi sana
 
Hii ni motorized mkokoteni jamani.
Tuweni serous kidogo.
Serikali iwekeze huko heavy ili tupate matokeo mazuri.
ITV WASIONYESHE JIONI NI AIBU HII..
 
Nasikia hata kipindi hicho watu walipinga sana kuona haiwezekani lugha ya kiingereza kutumika kwenye sayansi.
 
Hata 1890 yalikuwa better, natafuta walipoweka engine sioni. Imenifurahisha maana magari ya sasa yalivyo wanatuletea kituko hiki na rais akakizindue

Kwahiyo ada za wazazi wa hao wanafunzi zimeliwa bure tu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…