Wanafunzi wa chuo kikuu wapigana kisa mme wa mtu, hawaoni umuhimu wa elimu kuwatoa kimaisha wanaamini katika ukahaba

Wanafunzi wa chuo kikuu wapigana kisa mme wa mtu, hawaoni umuhimu wa elimu kuwatoa kimaisha wanaamini katika ukahaba

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Malezi ya watoto wa sikuhizi bana ni hatari sana, ukisikia mzazi ameuza ng'ombe akampeleka ng'ombe shule ndio huku, nyie wazazi huruma sio malezi, sisi watoto wa 80's ukimzingua mzazi atakupa mijeredi mpaka ushangae..

Nimeona video wanafunzi wa chuo kikuu kinachoaminika kwa kutoa elimu Bora hapa nchini, wakiwa wanampiga na kumdhalilisha mwanachuo mwingine, kwasababu ya kutembea na chawa mmoja anaeitwa Mwijaku, ikumbuke Mwijaku ni mume, wa dada mmoja ambae anafanya kazi bank flani hapa nchini...

Ikumbukwe Kuna mpuuzi mmoja uko mtandaoni alijisifu amenunua gari la million 34 kwa pesa ya kujikimu (boom) pia amejenga ghorofa la million 200, akiwa hana kazi yoyote kumbe ni malaya na kudanga kwa wadosi...

Hii imepelekea wanachuo wetu ambao ni taifa la kesho wasiamini tena katika elimu zao wanaamini katika ukahaba na kudanga,

Juzi nilikua nazurura tagged, telegram nikakuta wanachuo/wanafunzi wamejazana uko maadili yanaenda wapi? Wanawake hawaamini katika kufanya kazi Tena zaidi ya kudanga...

Kilichopelekea hawa wadada kumpiga mwenzao sio Tena anampiga kisa mume wa mtu, ni kwasababu ya kudanga tu anaona mwenzako atafaidi, kwanini yote yanatokea? Wazazi tunakwama wapi kwenye malezi?

Video Iko chini....
 
Screenshot_20250420-100208.png

Waziri gwajima.
 
Hicho chuo nishawahi semarang kilikuwa zamani,kwa sasa hamna kitu,wanafunzi wengi kwanza ni wanajiuzaa
Mambo ya kusema muwategeme wasomi hapo wanazalishwa ni bure kabisa
Naona chawa wa mama anawafukunyuaa tu mabinti sahv

Ova
 
Back
Top Bottom