Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

Hiyo ni kama ndoa utafanyika kwa kufuata taratibu za dini ya kiislamu
Hapana mkuu!
Sheria ya Ndoa (The Law Marriage Act Tanzania, 1977,cap 29)...

ukisoma Kifungu cha 13 kifungu kidogo (1) na (2) inaruhusu Mwanaume Kuoa Akitimiza miaka 18, Wakati huo mwanamke akitimiza Miaka 15 na kwa Chini ya Hapo ni kwa Amri ya wazazi iliyoruhusiwa na Mahakama..

Nitaiquotes kwa kuitafasiri kiswahili

"13(1) Hakuna mtu atakayeruhusiwa kuoa ambaye, akiwa mwanamume, hajafikia umri wa miaka kumi na nane au, akiwa mwanamke, hajafikia umri wa miaka kumi na tano.

(2) Bila kujali masharti ya kifungu cha (1), mahakama itakuwa na uwezo, kwa hiari yake, kutoa ruhusa kwa ndoa ambapo pande hizo au mmoja wao hajafikia umri ulioelezwa katika kifungu hicho."

Na hiyo ni sheria bila kujali dini mkuu LIKUD


Au kwa Ukaribu..
 
Glory be to God..
Ndio maana huku Mtwara wazazi huwaambia mabinti zao wajifelishe la saba makusudi
 
Weka picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…