Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

Kwa hiyo mkuu sasa hivi Mtwara ni msimu wa Ngoma na mavuno ya korosho?
 
Kumuoza binti kwa sababu ameanza kubleed si sahihi. Kubleed ni hatua ya kwanza tu ya ukomavu. Kuna mambo mengi sana yanahitajika ili tuseme binti kakomaa kuweza kutunza familia na kumtunza mume. Ni sawa na kusema mtoto wa kiume apewe mke wa kumtunza sababu kaanza kupiga bao. Ndoa si ngono tu.

Kuhusu watu wazima kuoa watoto ni kuendekeza tamaa, hakuna mapenzi ya mke na mume pale, huwezi sema mwanaume wa miaka 40 kampenda mtoto wa miaka 14 na anataka waanzishe familia. Mtu anayetaka kuoa mtoto anaongozwa na tamaa ya ngono hakuna lingine.

Mtu wa aina hii usishangae kaoa binti miaka 15 kampa mimba na kamzalisha, kisha mimba ya pili. Baada ya mimba ya pili kamrudisha kwao kwa talaka moja ili ajifunze kuishi na mume. (Waislamu inaruhusiwa hili.)

Ukichunguza akili ya huyu mtu haitaji mke, anahitaji kuwaingilia watoto bikra na anatumia mwavuli wa dini kufanikisha hilo. Wazazi haswa wa kiislamu ambao mahubiri ya kuoza binti wa miaka 15 ni kawaida, tuweni makini sana sana sana. Tusiruhusu hili. Tupiganie ndoto za mabinti zetu.

By the way, vijana wengi wameshindwa kutunza familia, njia pekee ya uhakika ya wajukuu zetu kupata mahitaji muhimu ni kuhakikisha mama mzazi anajiweza kwa kipato. Huwezi fanikisha hilo kwa kumuoza kwa ustaadhi akiwa na miaka 14.
 
🤣🤣🤣🤣
 

Acha hizo shekhe wangu
 
Mtwara darasa la Tano anaanza kutumia vitanzi kuzuia Mimba afu mama ndo anamwongoza kuweka.

Pwani kunaupuuzi mwingi sana,ikifika December wanawapeleka watoto under 12 kuchezwa..huko wanafundishwa kukatikia dusheee,yaani upumbavu mwingi sana lakini jamii imeegemea zaidi kupinga ukeketaji ikiacha mambo ya hovyo kama haya.
 
Hahahahah umemaliza mkuu me niko lindi hapa
 
Ukiwaita WAJINGA wao ndio wanakuona wewe mjinga
 
Yaan sheria ibadilishwe ili kurahisisha zinaa. Hao watu watengenezewe mazingira ya kufanya kaz wawe bize wachoke bana waache zinaa. Hii nchi msipostuka mkabaki kufikiria huko chini wagen watakuja kuchukua kila kitu. Kama wazaramo hapa Dar.
 
Yaan sheria ibadilishwe ili kurahisisha zinaa. Hao watu watengenezewe mazingira ya kufanya kaz wawe bize wachoke bana waache zinaa. Hii nchi msipostuka mkabaki kufikiria huko chini wagen watakuja kuchukua kila kitu. Kama wazaramo hapa Dar.
Watu kufanya mapenzi ndani ya ndoa unaita zinaa?
 
Wewe mwongo tuu ulaya mtu anakuwa anamasters by age of 18
 
Umeongea fact mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…