Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ni sawa ila haina maana yotote zaidi ya kumbebesha mtoto majukumu makubwa kabla ya umri wake.mwanangu kaanza class one akiwa na miaka 3 na miezi 7 . now yuko form 2. anaemfuata kaanza akiwa na miaka 4 now yuko la 5
Ni muhimu mtoto apate muda wa kufurahia utoto wake na kujifunza skills mbalimbali kwa wazazi kabla ya kuanza kuwa busy na shule ya msingi