Wanafunzi wa kizazi hiki wanafaulu sana. Je, ni bora kuliko nyie?

Umeongea point mkuu
 
Hizi shule za masikini za tabaka la kutawaliwa ndiyo mnapongeza kufaulu?Na amini Kwa wanaojielewa huwezi kuwakuta kwenye hizi shule.mfano mtoto wa mhindi yeyote anayeishi hapa Tz,au mtoto wa waziri rais,n.k
 
Mtihani wenyewe wa hesabu wa Form Four ni multiple choice What do you expect
Unasemea section B 😂😂😂😂
Zamani
SECTION B:40 marks)
(Answer all questions)
Sasa hivi
SECTION B:40marks)
(Answer 4 questions, question 11 is compulsory)

😂😂😂😂😂😂
 
Currently,Siasa imeingia kwenye Elimu yetu, wanasiasa wana enjoy kuzalisha machawa wasiokuwa na reasoning.........maana hata vyuoni ni praise teams hadi maprofesa,Madr etc.......
 
Sasa hivi mazingira mazuri ya kusoma.tofauti na kipindi chetu.na wazazi Wana hela wanapeleka watoto shule za maana
 
Hakuna kitu,
Miaka ya nyuma kashfa za kuvujisha paper kila mwaka,


Madogo wana uelewa, wana material mengi,
 
Wametanua goal posts kwahyo vijana wanafunga tu kirahisi
 
Zamani waliweka majina, wakaja wakaweka namba, baadae wakafuta hadi kusema shule iliyo ngoza kwa aibu za kijinga, kwa ujumla MKENDA anaingia kwenye historia ya MUNGAI, wanaua elimu.
WAtoto wanapewa majibu ya kuchagua.
division one ya sasa ni divsion 3 ya mwaka 2010
 
VIrutubisho vingi siku hizi
 
Siyaamini matokeo haya hata kiduchu..
Siasa.
 
Hizi shule za masikini za tabaka la kutawaliwa ndiyo mnapongeza kufaulu?Na amini Kwa wanaojielewa huwezi kuwakuta kwenye hizi shule.mfano mtoto wa mhindi yeyote anayeishi hapa Tz,au mtoto wa waziri rais,n.k
Sasa hao kina Nape ndiyo wanajielewa.. au unazungimzia mawaziri gani,
 
Kwann wanawake wa zamani walikuwa vimbaumbau ila wa siku hizi wameumuka? Ukipata jibu lihamishie kwenye swali lako ahsante.
 
Sasa hivi nadhani sera yao ni kufanya kila mwanafuzi afike form six kwanza mana sio kwa hali hii

Kuna shule jiran yangu wanafunzi wake tunawajua wengi hamnazo lakin mtihani wa form 4 hakukuwa ba division zero hata moja.

Kwanza siku hizi ukifeli kwenda advance yan ww ndio chizi kabisa hufai kupelekwa hata certificate mana utaenda kufeli na huko pia.

Imagine form 2 kwenda 3 ukipata tu D mbili unavuka hata kama masomo mengine utapata f zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…