A
Phd anakaa hostel, Alafu hawa wapuuzi ndo tunategemea wapate teuzi watutawale. Nchi ya kise*** sana hiiKwanza nauliza inakuwaje mwanafunzi wa PhD akakaa hosteli?
Kuna tatizo gani PhD wakikaa Hostel?Phd anakaa hostel, Alafu hawa wapuuzi ndo tunategemea wapate teuzi watutawale. Nchi ya kise*** sana hii
Nusu ukweli nusu si sahihi... Kukaa Hosteli Kwa wengine ni kupunguza mambo ya kujihudumia kama mtu binafsi.Unasoma PhD unakaa hostel? Acha utoto, kama si mkazi wa Dar tafuta nyumba upange. Panga nyumba yenye mahitaji yote muhimu, kama unaishi kwa kujibana tafuta wenzako 'those you cordially click with' mchange pamoja mpange nyumba.
Mbona huku kigamboni maji yapo kibaoNusu ukweli nusu si sahihi... Kukaa Hosteli Kwa wengine ni kupunguza mambo ya kujihudumia kama mtu binafsi.
Wengine wapo Hosteli kwa kuwa wanahisi uzingativu (focus) unaongezeka zaidi wakiwa maeneo hayo.
Hapo hoja kuu ni kwamba Dar es salaam hakuna maji haijalishi unakaa Hosteli au mtaani.
Sawa... Kigamboni siyo ndiyo Dar es salaam yote. Sehemu kubwa ya mji haina maji!Mbona huku kigamboni maji yapo kibao
NyumbuMuambieni chawa ChoiceVariable awaunganishe na maji ya mama
Acha kupanik, fuata ushauri wa Yoda umtafute huyo chawa aliyemtaja ili awaunganishie maji hao raia wanaoteseka!Nyumbu
NyumbuAcha kupanik, fuata ushauri wa Yoda umtafute huyo chawa aliyemtaja ili awaunganishie maji hao raia wanaoteseka!