Pre GE2025 Wanafunzi wa Rukwa Girls Secondary School washerekea siku ya kuzaliwa Rais Samia! Tunalazimisha iwe sherehe ya taifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!

Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo anatimiza miaka 65.

Soma Pia: Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

Ugonjwa huu ulianza kwa mwendazake, sasa umekuwa sana, hofu yangu ni kama atakuja kiongozi mwingine kichwa mpira, mpenda sifa na mjivuni badi hali itakuwa tete zaidi ya hii.

Anaweza akataka mkihondomola usiku muwe mnataja jina lake tu.
"Ahsante mh........ Kwa utamu huu, bila we mheshimiwa utamu usingekuwepo, nakula utamu kwa amani,"
 
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!

Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo anatimiza miaka 65.

Soma Pia: Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

Sasahivi nchi imearibika, bila ya kujishebedua na kujipendekeza hutoboi
 
Jamani Samia hauziki endeleeni kutumia mabavu kumuweka madarakani!
 
sijaona shida na zoezi la kumtakia heri mama yetu kipenzi haliwezi kuadhiri vipindi vya masomo kiujumla
 
Hii Nchi aliyeturoga twendeni tukamwombe msamaha kwenye kaburi lake tu

Otherwise, tutaendelea hivi hivi tukiwasindikiza wenzetu kwenye safari za maendeleo za Nchi zao 🙌
 
Inasikitisha sana watoto wetu wanavyofundishwa uchawa,kujipendekeza Kwa wenyevyeo!!
Hii nchi kuhusu kutumia akili kwakweli bado sana.
Tukisema tupapambanie katiba mpya isiyomfanya Rais kama mtu wamaajabu wapumbafu hawaelewi! Shame
 
Hapa unaweza kukuta mwaliku mkuu na diwani ndio vinara
 
sijaona shida na zoezi la kumtakia heri mama yetu kipenzi haliwezi kuadhiri vipindi vya masomo kiujumla
Kumbe na huku upo, ujatetea serikali kutoa posho za 3000 kwa walimu na bado unaona ni sawa watoto kuwa involved na mambo ya kisiasa. Sasa birthday ya rais nayo liwe jambo la kitaifa hadi kwenye taasisi za umma?
 
Kwa halininayoendela mambo haya yana kuja kuwa
1. Kujipendekeza na uchawa unalipa
2. Usomi na kutumia elimu haina maana
3. Kuwa msanii na celebities inalipa.

Hivuo Tz haijitajiki kutumia akili wala ubongo tena katika maisha wala elimu ni kupoteza muda wako, namna za usanii hasa wa miziki hii inayofundisha maisha ya aibu ndio deal lenyewe la kutoboa maisha. So stupid mind
 
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!

Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo anatimiza miaka 65.

Soma Pia: Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

Icho ni kiwanda cha kuzalisha Wajinga na Mabogus maana walimu wanaonekana ni Empty humo vichwani
 
Ni kikundi cha watu wachache kinafanya haya si wote. Mi naamini hata maaskari huwa si wote hufanya ujinga wa kulinda uovu ni kama walimu tu. Hapo utakuta ni mkuu na mwalim wa nidhamu wameamua kufanya hivyo huku wanaa wakiwa chemba wanawachora tu
 
Inasikitisha sana taifa la kesho kugeuzwa katuni
 
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!

Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo anatimiza miaka 65.

Soma Pia: Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

Upendo unapolazimishwa, unazua maswali.?!?!
 
Back
Top Bottom