Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Hili pia limewauma?tena wanaume kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!
Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo anatimiza miaka 65.
Soma Pia: Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

uzalendo unanza chini kabisa hii ni pamoja na kuwaheshimu kutii na kuwapenda viongozi wetu nduguHakuna mtu mwenye akili am aye ataona hii nisawq bali ni wajinga tuu
Tanzania haimzuwi mtu kusherehekea siku ya kuzaliwa.Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!
Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo anatimiza miaka 65.
Soma Pia: Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!
Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo anatimiza miaka 65.
Soma Pia: Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?
fntaz.com
Ningekuwa mimi ningeeona aibuWanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!
Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana @Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo anatimiza miaka 65.
🤣😆Maadui wa taifa wameongezeka na kuwa wanne (4), na aliyeongezeka ni Uchawa
Huwezi kuwaheshinu wala kuwapenda wabadhirifu wa mali za umma na walinzi wa mafisadi na wala rushwauzalendo unanza chini kabisa hii ni pamoja na kuwaheshimu kutii na kuwapenda viongozi wetu ndugu