Pre GE2025 Wanafunzi wa Rukwa Girls Secondary School washerekea siku ya kuzaliwa Rais Samia! Tunalazimisha iwe sherehe ya taifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Kuna mtu anajitafutia Kiki. Hawa Watoto hawawezi Kuja na huo Mpango na picha. Yaani JF hawajui kuna birthday ya Mama Abdul, halafu huko Rukwa wanajua. No way!
 
Tanzania haimzuwi mtu kusherehekea siku ya kuzaliwa.
wala haizuwi kikundi kumfanyai mtu shrehe ya kuzaliwa

Sasa kama watakuja watu kufanya sherehe ya kuzaliwa kwamwalimu wawo au kwa wazee wawo au kwa kocha wawo au kwa kiongozi wawo isiwe shida.

Kwa mfano wafanya kazi wa Kampuni ya Bakhress wana weza amua kufunga kazi na kusherehea kea siku ya kuzaliwa Bosi wawo au Wasafi Au Simba Sc Au yanga na kadhalika.

Tuacheni wivu
 
 
Huyu mama dictator na mpenda sifa sana.
 
Maadui wa taifa wameongezeka na kuwa wanne (4), na aliyeongezeka hatari zaidi ni Uchawa
 
Ningekuwa mimi ningeeona aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…