Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

PHARMACOLOGY
 
Attachments

Attachments

Habari wakuu.

Naomba msaada wa kitabu hiki.. ROBBINS BASIC PATHOLOGY edition yoyote.
Mdogo wangu anasoma MD anakihitaji kwa hali na mali.

Natanguliza shukrani.

CC: SHIMBA YA BUYENZE
Title hasa ya kitabu ni ipi?

Nina kimoja hapa kinaitwa Robbins and Cotran: Pathologic Basis of Disease.

Ni chenyewe hiki au kingine?
 
Title hasa ya kitabu ni ipi?

Nina kimoja hapa kinaitwa Robbins and Cotran: Pathologic Basis of Disease.

Ni chenyewe hiki au kingine?
ROBBINS ni writer. Title BASIC PATHOLOGY.

Naomba ulichonacho nimtumie huyu dogo aseme kama ndio hicho.
Maana nimekitafuta cha bure hakuna [emoji851]
Kinauzwa sites zote.. Especially Amazon
 
ROBBINS ni writer. Title BASIC PATHOLOGY.

Naomba ulichonacho nimtumie huyu dogo aseme kama ndio hicho.
Maana nimekitafuta cha bure hakuna [emoji851]
Kinauzwa sites zote.. Especially Amazon
Kuna vitabu viwili hapa. Cha kwanza ni Robbins and Cotran: Pathologic Basis of Disease na kingine ni Harsh and Mohan: Textbook of Pathology.
Haya ni mavitabu makubwa sana (148 MB) na haiwezekani kuyaweka hapa. Nimeyatia kwenye Google Drive na link zake hizi hapa chini. Mwambie dogo akayachukue huko.

- (Robbins - 148 MB)

- (Harsh and Mohan - 60 MB)

Hicho kitabu cha Robbins pia kina Reviews na Flash Cards zake hapa chini. Huu ni mwongozo na maswali ambayo yamekwishajibiwa. Naamini haya maswali yatamsaidia sana dogo pamoja na wenzake. Kama kuna lingine sema mkuu...
 
Attachments

ON THE INVOLVEMENT OF COGNITIVE PROCESSES IN THE ACQUISITION OF ENGLISH GRAMMAR BY SLOVAK LEARNERS
 
Attachments

Back
Top Bottom