Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Asante sana kamanda [emoji1545][emoji1545]Hongera kwa mwanzilishi na washiriki wa uzi huu. Hamasa kwa wanafunzi kupitia uzi huu na kufaidika nao. Sure thing this thread deserve recognition from the ministry of education. [emoji122][emoji122][emoji122] Elimu ya bure kabisa.
Hivi nadhani naweza kuvipata.Mkuu naweza pata vitabu vya electronic kwa bigginer n Computer language kwa begginer
Mimi sinayo mkuu. Tuombe kama kuna mdau anayeweza kukusadia akuwekee...Shimba ya Buyenze natafuta maswali kwa A level ya Mathematics ya Zephania A. Richard
Mkuu ukipata kanafasi rudi utimize ahadi yako [emoji1545][emoji1545]Bonge la Uzi pia ntakuwa nashare past papaers za Mock form two na form four.
Shukrani Mkuu.Mimi sinayo mkuu. Tuombe kama kuna mdau anayeweza kukusadia akuwekee...
Na wewe kama una materials yo yote yanayohusu shule au chuo tuwekee hapa