Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani

Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]
Mods please msiunganishe uzi huu na nyuzi zingine za vitabu.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya vitabu vya shuleni na vyuoni tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]


Mimi naskma darasa la tano mkuu, hauna kitabu cha math cha grade 5?
 
Naomba kuelekezwa namna ya kudownload vitabu na pdf zote humu jf. Pia mtu akinitaja au kujibu niwe notified maana kila nnacho fatilia nakipoteza mAANA sipati notification hata mtu akinitag.
 
Back
Top Bottom