Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Naunga mkono
FB_IMG_1706908402477.jpg
Screenshot_20240203_005641_Facebook.jpg
FB_IMG_1706904693881.jpg
 
Kuna kitabu mwanangu anatafuta kimeandikwa na lecturer wa usatawi wa jamii anaitwa mwakajinga lucas kinaitwa developement studies for colleges and universities. Soft copy pls
 
Nahitaji kumpa mtu zawadi ya kufaulu vizuri form 4.
I plan nipate vitabu

1. Nelkon and Parker - physics
2. Biological science - biology.

Sijui gharama zake kwasasa ni kias gani na sijui kama pia bado ni moderm books maana we used to study them high school enzi za 2008's to 2010 .
Sijui kwasasa kama are still valid.

Ushauri na maelekezo yenu wadau
 
Back
Top Bottom