Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Bookkeeping, account na economics sivioni wadau. Msaada mwenye navyo
 
Ninaomba nikufuate pm nikupe email unisaidie hivi vitabu?
Mavitabu ya Anatomy kwa Wanafunzi wa Utabibu Haya Hapa

Mavitabu mengine ni makubwa sana hayakubali kuwekwa hapa kama attachment.
Anayehitaji aseme nimtumie moja kwa moja kwa email
Nin​
Mavitabu ya Anatomy kwa Wanafunzi wa Utabibu Haya Hapa

Mavitabu mengine ni makubwa sana hayakubali kuwekwa hapa kama attachment.
Anayehitaji aseme nimtumie moja kwa moja kwa email
Kuna Snell, Netter, Grant nad Gray.

Kuna Snell, Netter, Grant nad Gray.​
 
Nahitaji kumpa mtu zawadi ya kufaulu vizuri form 4.
I plan nipate vitabu

1. Nelkon and Parker - physics
2. Biological science - biology.

Sijui gharama zake kwasasa ni kias gani na sijui kama pia bado ni moderm books maana we used to study them high school enzi za 2008's to 2010 .
Sijui kwasasa kama are still valid.

Ushauri na maelekezo yenu wadau
 
Attachments

Back
Top Bottom