NonsenseAchane kumjadili vibaya Mh Rais, vikao vinaendelea usiku na mchana na uwenda wakati wowote kuanzia next week vijana watarudi chuo kwa vibali maalum.
Hili la UDOM serikali ilitaka kuwapiga stop vijana wote wa vyuoni kutoandamana maana weng wanasoma kwa vibali maalumu hakupaswa kuwa ktk vyuo hivyo.
Pia hakuna mvutano wowote kati ya Rais mstaafu na Magufuli. Ikumbukwe Mh Rais bado anapata maelekezo toka kwa marais wastaafu jinsi yakuongoza taifa na pale anakosea anaonywa kimya kimya.
Hali ya usalama ni shwari na yalio pita si ndwele tugange yajayo.
Hii ndio Tanzania sikio halizidi kichwa. Mungu ibarik Tz na Rais wetu.
Kwa hiyo unataka tutumie tetesi kufanya maamuzi serious? Anajadiliwa kwa aliyoyafanya... na si kwa atakayoyafanya... MPAKA HAPO KUNA TOGFAUTI KATI YA ALICHOSEMA NDALICHAKO NA ALICHOKISEMA RAISI kwenye sababu za wanafunzi kuondolewa chuoniAchane kumjadili vibaya Mh Rais, vikao vinaendelea usiku na mchana na uwenda wakati wowote kuanzia next week vijana watarudi chuo kwa vibali maalum.
Hili la UDOM serikali ilitaka kuwapiga stop vijana wote wa vyuoni kutoandamana maana weng wanasoma kwa vibali maalumu hakupaswa kuwa ktk vyuo hivyo.
Pia hakuna mvutano wowote kati ya Rais mstaafu na Magufuli. Ikumbukwe Mh Rais bado anapata maelekezo toka kwa marais wastaafu jinsi yakuongoza taifa na pale anakosea anaonywa kimya kimya.
Hali ya usalama ni shwari na yalio pita si ndwele tugange yajayo.
Hii ndio Tanzania sikio halizidi kichwa. Mungu ibarik Tz na Rais wetu.
Dah.. Kilaza mwingine huyuuuBAVICHA wametangaza kusimamia kesi za vilaza wenzio, wanajadili jesca kama compensation level, bila kuhoji aidha ali re-sit na kupata credit, hata kama hakure- sit, kuchaguliwa kwake si tija kwa vilaza wengine, vilaza mtafukuzwa tu hakuna namna, na hakuna mahakama ya vilaza, wenda mboyii awe hakimu kube awe karani, lem polis kesi inaweza kushinda, kwakuwa wote vilaza watasimamia kesi ya vilaza
Kama wewe ulivyo kiazi.Dah.. Kilaza mwingine huyuuu
Ukiazi wangu na unautumia kuhalalisha ukilaza wako..??Kama wewe ulivyo kiazi.
Aaaa kumbe wewe kiazi ngoja uendelee kuliwaa maana viazi huliwa.Ukiazi wangu na unautumia kuhalalisha ukilaza wako..??
Akili ingekuwa kiungo cha uzazi ungekuwa huzaiAaaa kumbe wewe kiazi ngoja uendelee kuliwaa maana viazi huliwa.
Wewe ungekuwa siyo tu huzai bali ungekuwa si-riziki..mtu mwenye akili timamu hawezi kudeki barabara ili fisadi apite.Akili ingekuwa kiungo cha uzazi ungekuwa huzai
Nonsense
Utter nonsenseNonsense
Mkuu yaani watakaorudishwa ni wale tu wenye sifa...kama ni mjadala wa Jesca yaani endeleeni ikiwezekana anzisheni thread mia moja kwa saa..lakini msimamo uko pale pale.Warudishwe wote ili mjadala wa Jesca uishe
Jesca pamoja na ukilaza wake ana exceptional maana ni mtoto wa kigogo pamoja na ukilaza wake chuo atasoma tu.BAVICHA wametangaza kusimamia kesi za vilaza wenzio, wanajadili jesca kama compensation level, bila kuhoji aidha ali re-sit na kupata credit, hata kama hakure- sit, kuchaguliwa kwake si tija kwa vilaza wengine, vilaza mtafukuzwa tu hakuna namna, na hakuna mahakama ya vilaza, wenda mboyii awe hakimu kube awe karani, lem polis kesi inaweza kushinda, kwakuwa wote vilaza watasimamia kesi ya vilaza
Hao wasio na sifa walipelekwa na upinzani huko wengi ni uvccm.Mkuu yaani watakaorudishwa ni wale tu wenye sifa...kama ni mjadala wa Jesca yaani endeleeni ikiwezekana anzisheni thread mia moja kwa saa..lakini msimamo uko pale pale.
Kwa hiyo ulitaka kwa sababu ni CCM waachwe shitt..huu ni wembe kazi yake ni kunyoa bila kuangalia wingi wa nyweleHao wasio na sifa walipelekwa na upinzani huko wengi ni uvccm.