Sasa kwanini unawalaumu wapinzani.Kwa hiyo ulitaka kwa sababu ni CCM waachwe shitt..huu ni wembe kazi yake ni kunyoa bila kuangalia wingi wa nywele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini unawalaumu wapinzani.Kwa hiyo ulitaka kwa sababu ni CCM waachwe shitt..huu ni wembe kazi yake ni kunyoa bila kuangalia wingi wa nywele
"wanafunzi wenye ufaulu wa division 1 mpaka 3 ni 7714 na ndio walio kuwa na sifa ya kujiunga na masomo ya diploma maalumu,ila wanafunzi 88 ndio waliokuwa na ufaulu hafifu wa division 4,na ndio walio kuwa hawakidhi viwango vya kuisoma diploma maalumu"BAVICHA wametangaza kusimamia kesi za vilaza wenzio, wanajadili jesca kama compensation level, bila kuhoji aidha ali re-sit na kupata credit, hata kama hakure- sit, kuchaguliwa kwake si tija kwa vilaza wengine, vilaza mtafukuzwa tu hakuna namna, na hakuna mahakama ya vilaza, wenda mboyii awe hakimu kube awe karani, lem polis kesi inaweza kushinda, kwakuwa wote vilaza watasimamia kesi ya vilaza
Endelea kumtajataja popoma wewe....unadhani ndo utarudi chuo na divisheni thrii yako ya point 24Na jesca je?alafu mtoa post anajifanya mtu wa system kumbe hakuna kitu.
Safi sana TISS mnafanya kazi nzur sasa. You are th best and most professional institution in this.big nation. I salute youAchane kumjadili vibaya Mh Rais, vikao vinaendelea usiku na mchana na uwenda wakati wowote kuanzia next week vijana watarudi chuo kwa vibali maalum.
Hili la UDOM serikali ilitaka kuwapiga stop vijana wote wa vyuoni kutoandamana maana weng wanasoma kwa vibali maalumu hakupaswa kuwa ktk vyuo hivyo.
Pia hakuna mvutano wowote kati ya Rais mstaafu na Magufuli. Ikumbukwe Mh Rais bado anapata maelekezo toka kwa marais wastaafu jinsi yakuongoza taifa na pale anakosea anaonywa kimya kimya.
Hali ya usalama ni shwari na yalio pita si ndwele tugange yajayo.
Hii ndio Tanzania sikio halizidi kichwa. Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu.
mkuu,naona mtu mzima kakubali kuchutuma baada ya kujivua nguo!kama habari ni kweli,basi jesica mmoja amewarudisha wanafunzi 7000+ chuoni!najua wanategemea kua wataua ajenda hii,la hasha!ndio watakuwa wanaongeza petroli jikoni,kwani kuna maswali mengi yanaitaji majibu!Na jesca je?alafu mtoa post anajifanya mtu wa system kumbe hakuna kitu.
naona mtu mzima,kasalenda kimya kimya!ahahaha!kweli damu nzito kuliko maji!Kosa ni kurudia kosa...
Kukurupuka ni kubaya sana!...mwisho wa yote ni kuumbuka na kuharibu!! Wanasema huu mchezo hauihitaji hasira..mkuu,naona mtu mzima kakubali kuchutuma baada ya kujivua nguo!kama habari ni kweli,basi jesica mmoja amewarudisha wanafunzi 7000+ chuoni!najua wanategemea kua wataua ajenda hii,la hasha!ndio watakuwa wanaongeza petroli jikoni,kwani kuna maswali mengi yanaitaji majibu!
naona mtu mzima,kasalenda kimya kimya!ahahaha!kweli damu nzito kuliko maji!
we kitwanga sikia,kati ya wanachuo 7802,88 ndio wenye daraja la 4,na hao ni asilimia 5 ya wanachuo wote!waliobakia wote ambao ni 7714 ambao ni asilimia 95 wana ufaulu wa daraja 1 mpaka 3,na ndio wenye vigezo na sifa za kusoma kozi hio!Bavicha kasomeni maelezo ya Ndalichako muelewe...vilaza lazima wakalishwe tu hamna namna
naona ndalichako anabebeshwa lawama hapa,ahahaha!naomba tu msimfanye mbuzi wa kafara mama wa watu ktk madhabau yenu ya Serikali ya Mwendokasi na UkilazaTatizo hawa kina ndalichako wanaogopa kumwelewesha rais haya mambo sawasawa.
Ningekuwa mimi magufuli ndalichako ningempa transfer akawe ofisa mifugo huko meatu,kwa uzembe
yule wa baba j?Hivi mnaona ni halali kwa mtu wa divison four kusoma degree!!???
Define kwanza ukatiliMagufuli siyo katili anajua anafanya nini dhidi ya hao watoto
jf ina nguvu ya kubadili mwelekeo wa nchi hii,huo ndo ukweli.mkuu,naona mtu mzima kakubali kuchutuma baada ya kujivua nguo!kama habari ni kweli,basi jesica mmoja amewarudisha wanafunzi 7000 chuoni!najua wanategemea kua wataua ajenda hii,la hasha!ndio watakuwa wanaongeza petroli jikoni,kwani kuna maswali mengi yanaitaji majibu!
naona mtu mzima,kasalenda kimya kimya!ahahaha!kweli damu nzito kuliko maji!