Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

BAVICHA wametangaza kusimamia kesi za vilaza wenzio, wanajadili jesca kama compensation level, bila kuhoji aidha ali re-sit na kupata credit, hata kama hakure- sit, kuchaguliwa kwake si tija kwa vilaza wengine, vilaza mtafukuzwa tu hakuna namna, na hakuna mahakama ya vilaza, wenda mboyii awe hakimu kube awe karani, lem polis kesi inaweza kushinda, kwakuwa wote vilaza watasimamia kesi ya vilaza
Kwa mwandiko huu inaonesha dhahiri umejitekenya mwenyewe. Acha tetesi wewe jesca
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama kuna aliyeelewa naomba anifahamishe. Yaani huyu mleta mada sijui katoka kugegeda viroba! Lakini si ndiyo tumeambiwa kwamba viroba vimepigwa marufuku?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jesca gela out ov udom ukatafute chuo saiz yako kama vile CBE au cha uandishi wa habar au mapishi kabisa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijaelewa! Ndalichako alisema tatizo sio wanafunzi bali ni walimu! Sasa iweje hao wanafunzi warudi kwa vibali maalum?!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Una hakika Mungu Anaweza mushusha Barak A zake pasipo na haiki na usawa?huyo Mungu ni yupi?
 
we kitwanga sikia,kati ya wanachuo 7802,88 ndio wenye daraja la 4,na hao ni asilimia 5 ya wanachuo wote!waliobakia wote ambao ni 7714 ambao ni asilimia 95 wana ufaulu wa daraja 1 mpaka 3,na ndio wenye vigezo na sifa za kusoma kozi hio!
hesabu kweli janga la taifa.

88 kati ya 7802 sio asilimia 5, ni asilimia 1.12 tu! kwenye statistics hii ni within margin of error. +-1%
 
Hivi mnaona ni halali kwa mtu wa divison four kusoma degree!!???
Mbona mtoto wa Rais ana div four na anasoma degree? Au yeye ni mwanafunzi wa mwendokasi ?maana vigezo vyoye hana hata kama alipitia diploma maana haku clear div 4 ya point 30..
 
warudishwe lakini ni lazima Jesica aondolewe UDOM
 
Achane kumjadili vibaya Mh Rais, vikao vinaendelea usiku na mchana na uwenda wakati wowote kuanzia next week vijana watarudi chuo kwa vibali maalum.
Hili la UDOM serikali ilitaka kuwapiga stop vijana wote wa vyuoni kutoandamana maana weng wanasoma kwa vibali maalumu hakupaswa kuwa ktk vyuo hivyo.

Pia hakuna mvutano wowote kati ya Rais mstaafu na Magufuli. Ikumbukwe Mh Rais bado anapata maelekezo toka kwa marais wastaafu jinsi yakuongoza taifa na pale anakosea anaonywa kimya kimya.

Hali ya usalama ni shwari na yalio pita si ndwele tugange yajayo.
Hii ndio Tanzania sikio halizidi kichwa. Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu.

Aonywe kimyakimya wakati yeye hajui kuonya kimyakimya!!
 
Ujinga huu
 
Nitafanya chochote mpaka mumsahau Dada Jesca. Kwanza nawaletea sukari nita wagawia bure maana wengi mmefunga; Baadaye Madawati shule zote, muda si mrefu shule zitajaa madawati. Mkikukbuka ya Jesca Basi Mtakuwa mnajifanya ku resist, nita washughulikia kupitia sheria ya mtandao.
 
Wajameni najaribu kuand
Nitafanya chochote mpaka mumsahau Dada *****. Kwanza nawaletea sukari nita wagawia bure maana wengi mmefunga; Baadaye Madawati shule zote, muda si mrefu shule zitajaa madawati. Mkikukbuka ya ***** Basi Mtakuwa mnajifanya ku resist, nita washughulikia kupitia sheria ya mtandao.

Nikiandika jina la dada yangu system inaniwekea ...... kwanini? Dada yangu ni wa kule UDOM, Ukiandika tu Jina lake halitokei inakuwa ...., please try you will see what I'm telling u.
 
Back
Top Bottom