Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

Na jesca je?alafu mtoa post anajifanya mtu wa system kumbe hakuna kitu.
 
"wanafunzi wenye ufaulu wa division 1 mpaka 3 ni 7714 na ndio walio kuwa na sifa ya kujiunga na masomo ya diploma maalumu,ila wanafunzi 88 ndio waliokuwa na ufaulu hafifu wa division 4,na ndio walio kuwa hawakidhi viwango vya kuisoma diploma maalumu"
Zitto Kabwe!
 
Safi sana TISS mnafanya kazi nzur sasa. You are th best and most professional institution in this.big nation. I salute you
 
Na jesca je?alafu mtoa post anajifanya mtu wa system kumbe hakuna kitu.
mkuu,naona mtu mzima kakubali kuchutuma baada ya kujivua nguo!kama habari ni kweli,basi jesica mmoja amewarudisha wanafunzi 7000+ chuoni!najua wanategemea kua wataua ajenda hii,la hasha!ndio watakuwa wanaongeza petroli jikoni,kwani kuna maswali mengi yanaitaji majibu!
Kosa ni kurudia kosa...
naona mtu mzima,kasalenda kimya kimya!ahahaha!kweli damu nzito kuliko maji!
 
Kukurupuka ni kubaya sana!...mwisho wa yote ni kuumbuka na kuharibu!! Wanasema huu mchezo hauihitaji hasira..
 
Bavicha kasomeni maelezo ya Ndalichako muelewe...vilaza lazima wakalishwe tu hamna namna
 
Tatizo hawa kina ndalichako wanaogopa kumwelewesha rais haya mambo sawasawa.
Ningekuwa mimi magufuli ndalichako ningempa transfer akawe ofisa mifugo huko meatu,kwa uzembe
 
Bavicha kasomeni maelezo ya Ndalichako muelewe...vilaza lazima wakalishwe tu hamna namna
we kitwanga sikia,kati ya wanachuo 7802,88 ndio wenye daraja la 4,na hao ni asilimia 5 ya wanachuo wote!waliobakia wote ambao ni 7714 ambao ni asilimia 95 wana ufaulu wa daraja 1 mpaka 3,na ndio wenye vigezo na sifa za kusoma kozi hio!
 
Tatizo hawa kina ndalichako wanaogopa kumwelewesha rais haya mambo sawasawa.
Ningekuwa mimi magufuli ndalichako ningempa transfer akawe ofisa mifugo huko meatu,kwa uzembe
naona ndalichako anabebeshwa lawama hapa,ahahaha!naomba tu msimfanye mbuzi wa kafara mama wa watu ktk madhabau yenu ya Serikali ya Mwendokasi na Ukilaza
 
Magufuli siyo katili anajua anafanya nini dhidi ya hao watoto
 
jf ina nguvu ya kubadili mwelekeo wa nchi hii,huo ndo ukweli.
Ila imetosha sasa,jpm inaonekana wakati anasema hakuwa na facts zote mbele yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…