Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

Tatizo hawa kina ndalichako wanaogopa kumwelewesha rais haya mambo sawasawa.
Ningekuwa mimi magufuli ndalichako ningempa transfer akawe ofisa mifugo huko meatu,kwa uzembe

Kosa la ndalichako ni lipi mkuu?
 
Alirisiti shule ya chumbani kwenu?
 
Asante kwa taarifa msemaji mkuu waserekali.

Habari zikufikie mtoa POST.
 
Mkuu yaani watakaorudishwa ni wale tu wenye sifa...kama ni mjadala wa Jesca yaani endeleeni ikiwezekana anzisheni thread mia moja kwa saa..lakini msimamo uko pale pale.
Uwezi futa ukilaza wa jesca.ukweli utabaki ukweli tu
 
bado anataka mapambano na media??? Jf imekuwa nguzo ya mabadiliko Hilo halipingiki
 
Out of watu 7800 ni 88 tu ndio wenye div 4!
Hata hao wenye 4, bado inawezekana walikuwa na vigezo, maana walitakiwa wawe na certificate angalau ya mwaka mmoja!
Kumbukeni hii ni kozi maalum kwa ajili ya kuimarisha shule za kata!
Kesi ya Jesca sio comparative, ni kutaka kupima uadilifu wa msimamizi wa misingi ya utawala bora! Huwezi kuhubiri utakatifu wakati hutendi hayo!
 
Kwa posti achana na mashindano ya ukuu wa wilaya.. hata balozi wa nyumba 10 hupati.
 
Jina lako....linareflect ulichoandika....eti jingalao
 
Achana na kukurupuka, alichokisema Baba Jesca wote tumekisikia na tumekielewa kwamba Wanafunzi wamefukuzwa kwa sababu hawana sifa ya kuwepo UDOM "vilaza" wakatafute chuo size yao. Na kilichosemwa na Waziri wa Elimu ambacho ndio kiko sahihi ni tofauti kabisa.
Tangu lini wewe umekuwa msemaji wa Serikali? Pumba zako peleka lumumba na mwambie Baba Jesca kukurupuka kwake ni chanzo cha majanga makubwa nchini.

 
Toa kwanza boliti lenu pale udom ili muone kibazi kwa wengine.eti kishoa.uoni aibu Kama wapenda haki Toeni kilaza wenu Jesca hana sifa za kuwa pale.
Hivi kishoa ana elimu gani?
 
Kosa la ndalichako ni lipi mkuu?
akiwa kama waziri mwenye dhamana,yaelekea hakumpa fact zote rais kuhusu hilo suala,ama alimpamaelezo yasiyotosheleza kitu kilichopelekea Rais kuassume kwamba wanafunzi wote walioingia katika mpango huo ni wale waliofail,jambo lilomkasirisha rais kwamba itakuaje serikali isomeshe chuo kikuu watu waliofail,ni wazi kuwa waziri angempa maelezo sahihi,rais hangeweza kujikuta kwenye impossible situation kama alivyojikuta katika sakata hili
 

Umezidisha kitwanga naona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…