KERO Wanafunzi wa vyuo kuna ucheleweshwaji wa hela ya kujikimu (meals and accomodations)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa.

Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui ni vyuo au mfumo wa bodi ya mikopo wenyewe...

Hii ni changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…