ukiua wenzio unategemea pongez ?Kinachosababisha US kutumia nguvu kuzima hayo maandamano ni ukweli mchungu jinsi serikali hio ilivyojihusisha na mauaji ya Palestinian zaidi ya 30K kwa kuisaidia Israel silaha na pesa kutekeleza mauaji hayo ya kigaidi.
Je iran ilivyotumia nguvu kubwa kuwasaidia hamas kuua wayahudi 1300 na kuwateka 230 je huwa hamuoni uovu wa hamas ila wapalestina ndio watu pekee?Kinachosababisha US kutumia nguvu kuzima hayo maandamano ni ukweli mchungu jinsi serikali hio ilivyojihusisha na mauaji ya Palestinian zaidi ya 30K kwa kuisaidia Israel silaha na pesa kutekeleza mauaji hayo ya kigaidi.
Uthibitisho kujwa Iran ndiyo iliyoisaidia Hamas umeipata wapi.Je iran ilivyotumia nguvu kubwa kuwasaidia hamas kuua wayahudi 1300 na kuwateka 230 je huwa hamuoni uovu wa hamas ila wapalestina ndio watu pekee?
Kobazi hawajielewiYani Kwa Akili za Kawaida Utoke USA Uende Ukaishi na kusoma Yemen Au Iran Utakuwa Mzima Kweli za Kuambiwa changanya na Zako
Unawazimu Yemen mbona tuna wanafunzi wazuri zaidi kuliko wa kutoka Columbia university na Hovard? au umeanza kuvutiwa na ushogasasa mtu atoke Havard ama Columbia university akasome Yemen? atakuwa amepoteza pakubwa!
Naunga mkono hoja, Iran inatoa wanafunzi wazuri zaidi na huko yemen kuliko magharibi na USVuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.
Maamuzi hayo yamekuja wakati polisi nchini Marekani wakiendelea kuwakamata wanafunzi hao na kutishia kuwafungulia mashtaka huku vyuo wanavyosoma navyo vikitishia kuwafukuza kutoka vyuo hivyo.